afisa

Otiko Afisa Djaba (born 21 January 1962) is a Ghanaian politician. Her previous engagement was the National Women's Organizer for the New Patriotic Party. She was also the former minister for Gender, Children and Social Protection.

View More On Wikipedia.org
  1. B for Beatrice

    Interview Afisa utamaduni

    Naomba msaada. Anayejua maswali yanayotoka kwenye usaili (Afisa utamaduni) anisaidie..
  2. figganigga

    Ukikamatwa na Afisa wa LATRA barabarani, tulia kama unanyolewa. Sheria imewapa nguvu sana

    Tanzania bora ukamatwe na Polisi sio LATRA. Kwanza hawahongeki, hawazoeleki, hawaonei wala hawana huruma. Hata haya mambo ya Foleni wakiachiwa kazi LATRA, mambo yatanyoka. Afisa huyo wa LATRA akikukamata, atakusalimia kisha atakuomba kukukagua. Mfano kwa wanaobeba abiria, atakagua...
  3. Genius Man

    Mafwele amendelea kutuhumiwa na utekaji

    Kutoka na ripoti na Kwa taarifa za kuaminik zisizo na mashaka kutoka BBC afisa wa juu wa jeshi la "Mafwele" ameendelea kutuhumiwa na utekaji
  4. A

    DOKEZO Arusha: Afisa Maendeleo Kata ya Sombetini anaomba rushwa kwa wanavikundi walipata Mkopo

    Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake. Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa. Hawa wana vikundi wanaokopa ni wajasiriamali wadogo na hiyo hela wanarudisha.
  5. H

    Afisa wa Cheo cha juu wa Jeshi la Polisi Auawa Iran, Kulipiza Kisasi cha Mauaji ya Polisi kwa Waandamanaji

    Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan. Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida. Na hakika, kama...
  6. Sifi Leo

    Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

    Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko? Kwanza niwambie siji. Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS. TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
  7. Waufukweni

    Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

    Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo. Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
  8. Roving Journalist

    Afisa Mtendaji wa Kata ya Lionja afikishwa Mahakamani kwa makosa ya rushwa

    Mnamo Septemba 18, 2025 katika mahakama ya wilaya ya Nachingwea limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22689/2025 mbele ya Hakimu Mwandamizi Mkuu Mh.J.Mnguto, Jamhuri dhidi Seleman Ajibu Chimogo ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Lionja Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea. Mshitakiwa...
  9. and 998 others

    Msihadaike na Drama za Polepole, ni Afisa Kipenyo aliye kazini!

    Hizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako. Hakika HP kataitiwa mwanzo-mwenga Hana pa kutoboa
  10. H

    Kazi za afisa Ugavi kupitia MDA & LGA's

    Habari wanajamii. Natumaini wote wazima. Hivi zile kazi za afisa ugavi 340 za mwaka jana agosti naomba kuulizia hivi nafasi zote zimeshapangiwa kwa waliofaulu??
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    Anayekata internet anatumia akili gani?

    Anakata internet Polepole akiwa live, live ikiisha anarudisha internet na kutupa fursa ya kuangalia alichokisema polepole, yani hata kama ulikuwa umesahau basi ni lazima utakumbuka maana ukiona tu internet inasumbua, unajua kuna jambo, ikirudi tu unasearch. Huyu anamhujumu mama yetu kipenzi wa...
  12. mcTobby

    Mfahamu Robert Ames. Afisa wa CIA aliyewakutanisha Yitzhak rabin P.M wa Israeli na Yasser Arafat wa palestina

    Ilikuwa ni siku ya jumatatu ya mwezi wa 9 mwaka 1983. Siku ambayo anga lilikuwa angavu na bluu ikimaanisha hali ya joto kiasi ndani ya makao makuu ya nchi ya marekani Washington d.c. Hakika siku na tarehe hii ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na watu wengi na sio tu wamarekani bali...
  13. DuaZaMama

    Shinyanga: Askari Magereza auwawa na watu wasiojulikana

    Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa kutumia nguo alizokuwa amezivaa karibu na nyumba aliyokuwa akiishi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga...
  14. Pagani Zonda

    Possible za written na oral interview kwa kada za afya

    Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
  15. M

    Afisa mazingira dodoma, huyu anayejenga ghorofa hapa barabara ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka kingo

    umelala? huyu anayejenga gorofa hapa barabar ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka zile kingo. vibarua wake wamekazana kutoa mawe kwa jeuri wala hajali watu.anasimama akiona gar tu kwa vile anaogopq kulala ndani.ila.maisha ya watu je? njoo haraka uone watu wanavopiga kelel...
  16. Pdidy

    Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo. Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
  17. The Zanzibar Echo

    Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  18. The Zanzibar Echo

    Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  19. A

    KERO Mwanafunzi Kigamboni City College nakaribia kufukuzwa, Boom la nne hadi leo halijatoka, Afisa Mikopo hajulikani alipo

    Naitwa Lutamila Malindi Ibrahim, mwanafunzi wa Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Nimesajiliwa kwa namba ya usajili: S3363.0137.2021. Ninaandika kwa uchungu na hofu kubwa. Mpaka leo hii, tarehe 6 Julai 2025, sijapata boom la nne kutoka HESLB. Hali hii imenitesa sana...
  20. Dalton elijah

    Inspekta Jenerali wa polisi Kenya ameagiza kukamatwa kwa afisa aliyempiga risasi kichwani mchuuzi wa barakoa jijini Nairobi

    Huduma ya Polisi ya Taifa (NPS) imepokea kwa wasiwasi mkubwa tukio la kupigwa risasi kwa raia asiye na silaha na askari wa polisi aliyekuwa akitumia bunduki ya kudhibiti ghasia, tukio lililotokea katika eneo la biashara kuu jijini Nairobi (CBD) tarehe 17 Juni 2025. Kufuatia tukio hilo, Inspekta...
Back
Top Bottom