afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Basi la Modern Coast latumbukia mtoni, mmoja afariki na wengine kujeruhiwa

    Mtu mmoja amefariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la Modern Coast kutumbukia kwenye mto Masosa kwenye makutano ya Makutano mjini Kisii. Kamanda wa Polisi wa Kisii Central Amos Ambasa amesema gari hilo lenye nambari za usajili T247 DKE lilikuwa likielekea Homa Bay kutoka...
  2. Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  3. Dodoma: Mtu mmoja afariki kwenye vurugu za Sungusungu na vijana wa Bahi

    Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma. Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa...
  4. Q

    TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  5. TANZIA Qatar: Mwandishi wa Habari wa pili afariki dunia, saa 48 baada ya yule wa Marekani kufariki

    Khalid al-Misslam, Mwandishi wa picha aliyekuwa akifanya kazi na Kituo cha runinga cha Al Kass, amefariki jana huku sababu za kifo chake zikiwa hazifahamiki hadi sasa Khalid ni Mwanahabari wa pili kufariki kwenye Kombe la Dunia huko Qatar ikiwa ni saa 48 baada ya Mwanahabari wa Marekani, Grant...
  6. TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

    Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar. Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo...
  7. TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Itifaki Ikulu, Captein Aboubakar Ibrahim Nkya Afariki dunia

    Taarifa ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa balozi Omari Kashera unathibitisha kufariki kwa Captein Aboubakar Ibrahim Nkya. Marehemu amefariki nchini India alipokuwa anapatiwa matibabu. Soma zaidi kumhusu...
  8. TANZIA Jiang Zemin aliyekuwa Rais wa China afariki dunia akiwa na miaka 96

    Aliyekuwa Rais wa China bwana Jiang Zemin amefariki dunia leo alfajiri mjini Shanghai China akiwa na umri wa miaka 96. Taarifa kutoka vyombo vya utawala vya China [ kamati kuu ya Chama cha kikomunisti cha China, kamati ya kudumu ya bunge la taifa la China , Baraza la mashauriano ya kisiasa na...
  9. Tanzia: Waziri wa mambo ya nje wa Belarus afariki ghafla

    Vladimir Makey mwenye umri wa miaka 64 alishikilia wadhifa huo tangu 2012 Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus Vladimir Makey, alifariki ghafla siku ya Jumamosi, shirika la habari la Belta limeripoti, likimnukuu msemaji wa wizara hiyo, Anatoly Glaz. Alikuwa ameshikilia nafasi yake kwa muongo...
  10. Mzee wa miaka 70 afariki akisubiri mbolea ya Ruzuku

    Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho. CHANZO: ITV
  11. TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

    Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka huu tena siku moja tu. Katika maongezi alinijulisha...
  12. S

    Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

    Askari wa wanyama pori afariki dunia wakati akijaribu kumkimbiza jangili. Jangili huyo alikimbilia mtoni na akaaanza kuogelea ndipo askari huyo aliekuwa na wenzake nawe akaamua ajitose kimfuata mtuhumiwa. Alioogelea lakini alipofika katikati ya mto maji yalimzidi kwani kina cha maji...
  13. TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

    Habari. Mtoto wa mwanamziki mashuhuri Davido Amefariki akiwa anaogelea Kwenye Swimming pool. RIP little Young. Music icon, David Adeleke aka Davido has sadly lost his first son, Ifeanyi David, he had with Chioma Rowland aka Chef Chi. Ifeanyi who only recently celebrated his 3rd birthday...
  14. Binadamu ambaye hajaoga kwa miaka 50 afariki akiwa na miaka 94

    Amou Haji aliyetajwa na vyombo vya habari kuwa "mtu mchafu zaidi duniani" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94, ikiwa ni miezi michache tu baada ya kunawa kwa mara ya kwanza katika miongo kadhaa. Amou alikuwa amekataa kutumia sabuni na maji kwa zaidi ya nusu karne, akihofia ingemfanya...
  15. Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Habari wana JF, Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa. Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
  16. TANZIA Mbunge Mussa Hassan Mussa Silima, afariki dunia

    Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko zinafanyika. Kwa mujibu wa taarifa mwili wa marehemu unapelekwa kijijini kwao Bwejuu kwa ajili ya...
  17. Mfanyakazi mwingine afariki kwa Ebola Uganda

    Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) umekatisha maisha ya mhudumu mwingine wa afya wakati nchi ikipambana kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo, Wizara ya Afya imeripoti. Dkt Jane Ruth Aceng, Waziri wa Afya alitangaza kifo cha Bi Margaret Nabisubi, Afisa wa Ganzi, leo Jumatano asubuhi. "Muuguzi huyo...
  18. Mwanariadha afariki akishiriki katika mbio za London Marathon 2022

    Mwanaume mwenye umri wa miaka 36 alifariki baada ya kuzimia alipokuwa akikimbia mbio za London Marathon, waandalizi wamethibitisha. Mwanamume huyo, kutoka kusini-mashariki mwa Uingereza, aliugua kati ya maili 23 na 24 kati ya tukio la maili 26.2. Alipata matibabu ya haraka na gari ya wagonjwa...
  19. Mtaalamu wa kukata mawimbi Chris Davidson afariki baada ya kupigwa ngumi nje ya bar

    Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney. Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka, akigonga kichwa chake kwenye barabara, polisi walisema. Alitibiwa katika eneo la tukio lakini alifariki...
  20. Nguli wa muziki wa Jazz, Pharoah Sanders afariki akiwa na miaka 81

    Pharoah Sanders, mpiga saxophone wa Jazz wa Marekani, amefariki akiwa na umri wa miaka 81. Habari hizo zilithibitishwa na lebo ya Sanders, Luaka Bop, kwenye Twitter. "Tumesikitika kushiriki kwamba Pharoah Sanders amefariki," taarifa ya lebo hiyo ilisema. "Alikufa kwa amani akiwa amezungukwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…