Unaweza kusema ni mbuyu umeanguka katika siasa za Tanzania, kwani William Vangimembe Lukuvi ndiye aliyekuwa mbunge mkongwe kuliko wote katika Bunge la 13 linaloendelea sasa na waziri mwenye uzoefu mkubwa kuliko wengine.
Waziri Lukuvi aliyeingia bungeni tangu mwaka 1995 aligombea na kushinda...
Jamaa kafa na miaka 43 tu
Alikua ni mwisrael na myahudi aliyekua sehemu ya mchango mkubwa kwa Israel
Alikua anatoa mabilioni ya pesa kufadhili taifa la Mungu la Israel
Alikua anamiliki page za ngono na pia alikua anamiliki makampuni ya kushoot video hizo sio hivyo tu jamaa alikua kaajiri...
Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20, 2026 huko Florida.
"Tuna huzuni kubwa kutangaza kifo cha Leo Radvinsky. Leo alifariki dunia kwa...
Jaji Mstaafu Julie Catherine Manning amefariki dunia leo Machi 20 katika hospitali ya Hitech Health care iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Manning aliyekuwa pia Jaji wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki na kati, aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu...
Askofu wa Kanisa la The House of Prayer International Ministry, Kanda ya Songwe na muimbaji wa nyimbo za injili, Sarah Wega, amefariki dunia baada ya Pikipiki (bodaboda) aliyokuwa akisafiria kupata ajali ya kugongwa na lori iliyotokea Machi 16, 2026 katika eneo la Chapwa, Wilaya ya Momba mkoani...
Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026
Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
Mmiliki wa Bar ya Mrina Arusha nyuma ya Golden Rose na Mrina Bar and Hall ya Manzese karibu na Lambo Bar amefariki.
Ninachojuwa, huyu gwiji alikuwa maarufu kwa matukio ya "front" kwenye magodown ya mali na kwenye utekaji wa magari ya transit.
Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
Tom Hagen alikua adopted, akasomeshwa sheria na kufanywa kuwa Consigliere wa familia. Hivyo Consigliere aliiuwa ndiye mshauri na mwanasheria wa familia na shughuli zao zote
Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, anasikitika kuwatangazia kwamba leo tarehe 30/01/2026 saa 10.31 alfajiri mpendwa wetu Padre Paul Nsekela Mboje SABUNI, Paroko wa Parokia ya IPTL, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika matibabu...
📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake.
Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa wamepakizana kuelekea chuoni,kugongana na treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kuelekea...
TANZIA-
Kwa masikitiko makubwa LINDA WA ATLANTA USA 🇺🇸 anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa MUME wake MALI KIMESERA kilichotokea leo alfajiri NYUMBANI KWAO— inshalah MAZISHI yatafanyika siku ya IJUMAA- ratiba na adress itakuja
Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida
Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali
Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
Ndugu wana jukwaa,
Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang.
Kwa wale tuliozaliwa na kukua tukitazama mikanda ya VHS na filamu za kusisimua za miaka ya 70 na 80, Leung hakuwa mwigizaji tu, bali...
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
.............................................................,..
👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪
Jeshi la Polisi linatumika vibaya...
Utata umegubika kifo cha mwendesha bodaboda Jack Deon Maloba, mwenye umri wa miaka 23, aliyekamatwa Alhamisi jioni tarehe 11 Disemba, na kufariki akiwa katika kituo kimoja cha polisi jijini Nairobi.
Familia yake inadai kuwa polisi waliwaambia kuwa Maloba alijiua kwa kutumia fulana, lakini...
Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa.
Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho uwanjani, Chico ameacha kumbukumbu za ari, kujituma na nyakati zilizowasisimua mashabiki wa soka la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.