afande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intricate

    Afande: Ikitokea msafara wa rais umekutana na gari ya kubeba wagonjwa, basi msafara wa rais utaendele kupita na gari ya wagonjwa itasubiri

    Afande amesema itakapotea msafara wa Rais ukakutana na gari ya kubeba wagonjwa basi msafara wa Rais utaendelea ila gari ya wagonjwa itasimamishwa. Na amesema kwa sekunde hizo aziwezi kuondoa uhia wa mgonjwa na hata akifariki basi itakuwa siku yake imefika. Maana wao wapo kwaajili ya kumlinda...
  2. NGAYANIMO

    Usinichukie - watu pori ( Afande sele)

    WATU PORI - USINICHUKIE Afande sele.( Verse).. "inshallah kama umenisamehe Kama bado basi Ewallah Yote namuachia Allah Kwani tulipo , Tupo kwa vile ametaka Tuwepo/ Anatupenda Sawa sawa kabisa/ Wote anatupa Mvua,misikiti na makanisa/ Na wote anawapa jua masikini na Wenye pesa/ Kama kuvuta...
  3. NGAYANIMO

    Full interview na Afande Sele kuhusu gheto boys & watu pori

    Interview na Afande Sele akizungumzia watu pori na gheto boys akiwa na c.e.o wa ukwaju wa kitambo
  4. O

    Hii hapa kazi ya afande MWENYE akili

    Mlinzi mmoja wa usalama jijini Houston amepata heshima kubwa mitandaoni baada ya video kuonyesha akipambana na wanaume wawili tofauti—mmoja baada ya mwingine—na kuondoka akiwa amesalimiana nao kwa mikono, badala ya kuwakamata au kuwafunga pingu. Tukio hilo lilitokea karibu na gari la chakula...
  5. The Palm Beach

    Tetesi: Hilda Newton: Afande Hamza, aliyeua mamia ya waandamanaji 29/10 - 3/11/ ni kichaa. Anaropoka siri zao ovyo. Amefungiwa chumba maalumu Police Oysterbay

    Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton =============================================== TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
  6. tonicimmobility

    GE2025 Asajile Mwanjala amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha Ifunda

    Asajile Mwanjala amechukuliwa usiku wa jana Kijiji cha Ihemi kata ya Mgama, Nimeongea nae amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda na Afande Razaro Polisi wa Iringa mjini. Fikeni hapo kituoni Ifunda haraka.
  7. DuaZaMama

    Ushaidi wa Afande George katika kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumatatu Oktoba 06.2025 kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Kesi hiyo...
  8. The Mongolian Savage

    Sidhani afande Tesha yuko nchini

    Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini. Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga. Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
  9. Isenye

    Afande Sele tusipomuwekea speed gavana kwa huyu mke wake mpya, atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba wa Magufuli

    Huyu jamaa kila ukiingia kwenye page yake ya instagram ni mwendo tu wa kumsifia mke wake mpya. Pigo zile za kishamba kama za Manara. Siku yakimkuta naamini atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba wa Magufuli.
  10. BigTall

    KERO Responded Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria

    Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro. Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
  11. E

    GE2025 Afande Muliro: Unasema utalinda kura, utalindaje?

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji wanasiasa wanaosema watalinda kura, akisema watalindaje na kwa sheria gani? Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokuwa akihojiwa katika kituo cha televisheni cha Clouds TV jijini Dar es Salaam. Kauli ya Oktoba Linda Kura...
  12. Allen Kilewella

    Afande mpiga doria mitandaoni!

    Ukisikia kazini Kuna kazi ndiyo hii Sasa 👇 Kamanda akipiga doria.
  13. B

    Afande Sele aongea ya moyoni kuhusu Lissu.

    https://www.facebook.com/share/r/1ATsucVFUU/VIDEO: Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi @afandesele1976 amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo aliyomweleza ni mashaka yake ya uwepo wa namba ndogo...
  14. masopakyindi

    Afande asitukia kamera, awa mpole!

    Hakuna askari polisi anayependa kudukuliwa akiwa kazini.
  15. Area 56

    Afande akifurahia hotuba ya Tundu Lissu kuhusu No Reforms No Elecetion

    Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu. Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
  16. Mr Pixel3a

    Ni ngoma gani kati ya mtazamo ama Darubini kali ilimpa sifa Afande Sele ya kuitwa mfalme wa Rhymes 2004?

    Kama ni MTAZAMO sidhani kama alistahili labda Hit song ya Darubini Kali. Historia kidogo. Mwaka 2004, Mfanyabiashara Mwandishi wa Vitabu, Eric James Shigongo, alianzisha Shindano la kumtafuta Mkali wa kughani muziki wa Rap nchini. Shindano hilo aliliita "Mfalme wa Rhymes 2004". Kupitia Kampuni...
  17. R

    Afande Muliro kwani hili haliwezekani kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja. Kwanini mlimkamata usiku wa manane?

    Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja. Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at midnight? Yes, he is a criminal suspect, but I guess his criminality is not that "grave" to...
  18. ukwaju_wa_ kitambo

    AFANDE SELE FT. BWANA SAM - MTU NA PESA.

    AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA Verse ..1 ( afande sele) Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana kila kukicha anacheki inavyonitesa/ baba ake nateseka / mchana kutwa mbilika na usiku ni batashika/...
  19. ukwaju_wa_ kitambo

    AFANDE SELE FT 20% - MBELE YAKO NYUMA YANGU.

    AFANDE SELE FT 20% MBELE YAKO NYUMA YANGU.. Intro. Yah..hahahaha mj Record sio Afande sele, asilimia na Marco chali Hahahaha chorus.. 20% . Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu mie/ Usinichukie Weee..!!/ Ndugu yangu/ Uuuh.. Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu...
  20. ukwaju_wa_ kitambo

    Afande Sele FT Mr. Nice - Mimi na wewe basi

    AFANDE SELE FT MR. NICE ( MIMI NA WEWE BASI) CHORUS ( MR NICE) Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah" Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande sele) - "Basi" ×2 Nakupenda sana na bado Roho yaniuma/ eeeh Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi/ ("...
Back
Top Bottom