adhabu

Neno "adhabu" katika Kiswahili linamaanisha pigo, mateso, au malipo anayopewa mtu kutokana na kosa alilofanya au kwa kuvunja sheria. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya punishment, penalty, au sentence.

Hili neno hutumika katika mazingira mbalimbali, kuanzia ngazi ya familia, shuleni, hadi kwenye masuala ya kisheria. Hapa kuna mifano ya matumizi yake:

1. Kwenye Sheria na Mahakama (Legal Penalties)​

Mtu anapovunja sheria za nchi na kupatikana na hatia mahakamani, hupewa adhabu.

  • Adhabu ya kifo (Death penalty / Capital punishment).
  • Adhabu ya kifungo (Prison sentence).
  • Adhabu ya faini (Financial penalty / Fine)

2. Shuleni na Nyumbani (Disciplinary Actions)​

Hatua zinazochukuliwa dhidi ya mwanafunzi au mtoto ili kumfundisha nidhamu anapokosea.
  • Kupewa adhabu: Mfano, "Mwalimu amewapa wanafunzi adhabu ya kufyeka nyasi kwa kuchelewa shule."
  • Kutumikia adhabu: Kufanya lile jambo uliloagizwa kama malipo ya kosa lako.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  2. Pakome

    JamiiForums Tanzania G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Knesset yaidhinisha Mswada wa kunyonga wafungwa wa Kipalestina

    Knesset ya Israel imepitisha kwa usomaji wa kwanza mswada unaoruhusu kunyongwa kwa wafungwa wa Kipalestina. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Israel (KAN), mswada huo ulipitishwa Jumatatu usiku kwa kura 39 za ndiyo na 16 za hapana. Mswada uliopendekezwa na chama cha Jewish Power cha...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Je unadhani huyu dada akitua bongo ni adhabu gani atapewa na mamlaka?

    GT Aisee huyu dada ni hatari. Mi nadhani watangawana juu kwa juu mikono kule kichwa kule yaani ni balaa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Simba ikishinda leo hii Adhabu nipate kwa wiki mbili mfululizo

    Kama kawaida Yanga tunaenda mchukua mwali wetu tujimwaye mwaye naye msimu huu wote. Leo ndo tunakabidhiwa mwali. Naweka hili bandiko hapa. Simba ikitokea leo ikamfunga Yanga niwe banned kwa wiki 2 mfululizo. Najua kuna watu wanaweza jiua kwa kukosa nyuzi zangu za kuelimisha hapa jukwaani...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi huyu mwamba kuwapa watoto wake adhabu ya namna hii?

    😂
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Aliyetunga sheria/adhabu ya kuwanyonga Wakristo, ana IQ ndogo?

    Ni ajabu hadi leo kuna nchi duniani ambazo bado zinatoa adhabu ya kumnyonga mtu aliyeamua kuacha dini yake ya mwanzo na kuwa Mkristo. Aliyebuni sheria/adhabu hiyo aliona kwamba hiyo ndiyo njia ya kuwakomesha wafuasi wa Kristo. Najiuliza: aliyetunga sheria/adhabu hiyo alishindwaje kuelewa Andiko...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwamba amekuta mafundi wanaiba cement hii ndio adhabu aliowapa

  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Huyu kibaka hatonisahau kwa hii adhabu niliyompa

    Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango. Jamaa...
  11. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia)

    Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tuliopitia jeshini: huyu mpiga bugle ya Last Post utampa adhabu gani?

    Makamanda nipeni mrejesho. Mpiganaji kazikwa bila heshima.
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nimpe adhabu gani huyu memba aliyeniita mimi kiazi kwenye uzi wangu?

    Kuna mtu namtafuta humu, kwenye uzi wangu ameniita mimi kiazi. Wakuu, nimpe adhabu gani huyu jf memba kwa kuniita mimi kiazi?
  15. Bueno

    JamiiForums Tanzania Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

    Wakuu kuna kitu kinanitafakarisha sana yaani kila nikikaa natafakari sana. Yaani Mwanaume ni marufuku kumsikiliza mkeo hilo kosa adhabu yake ni ya milele na ilikua imeanzishwa na Muumba Mwenyewe lakini ukiangalia kwa undani utagundua Mwanaume Adamu alionewa tu hakua na kosa lolote. Hivi ebu...
  16. Tunguja

    JamiiForums Tanzania Katika hawa watu watatu waliokukosea na wakakiri makosa,kila mmoja utampa adhabu ipi kulingana na kosa lake?

    Kesi imepelekwa Mahamakani siku ya hukumu Hakimu kapendeza adhabu tatu ,ila kakupa nafasi wewe mlalamikaji kumchagulia Mshtakiwa mojawapo ya adhabu alizotoa,Kila mmoja na adhabu yake. Adhabu alizotoa ni kama ifuatavyo 1:Faini Milioni mbili 2:Jela miaka miwili 3:Msamaha Washtakiwa wanakabiliwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu Wasabato kama ni kweli kula kitimoto ni dhambi leteni ushahidi kimaandiko wa adhabu kwa anayeitumia. , dhambi nyingine adhabu zimetajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Ushahidi huu adhabu kwa dhambi nyingine:. ::: 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, Wagalatia 5:19 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, Wagalatia 5:20 21 husuda, ulevi, ulafi, na...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kamati ya saa 72, mpeni Mpanzu adhabu Kwa mchezo wake kihuni

    Licha ya kuwa TFF, Bodi ya ligi na taasisi zote za TFF zipo mfukoni mwa Simba ila Kwa hili oneni basi aibu Mpanzu amemchezea rafu mbaya mchezaji wa Singida Black Stars ambayo ingehatarisha kipaji chake kabisa, adhabu hiyo ilistahili kadi nyekundu lakini mwamuzi hakuliona tukio hilo ndo ikawa...
  19. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya funzo adhabu na laana?.

    Kuna wakati kwenye maisha Mtu unakutana na mitihani mpaka unajaribu kujiuliza kama hiyo ni adhabu ya makosa uliyowahi kufanya, au ni funzo tu unapitia baada ya kutoka kwenye mstari au la ni laana ya Mtu au Watu uliowakosea kwenye harakati zako za maisha. Sasa mtihani unabaki namna ya kutambua...
  20. mbegubora29

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengine Allah anawaweka madarakani kama adhabu!

    Naam, habari wana JF, Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo. Lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja...
Back
Top Bottom