ada

Augusta Ada King, Countess of Lovelace (née Byron; 10 December 1815 – 27 November 1852) was an English mathematician and writer, chiefly known for her work on Charles Babbage's proposed mechanical general-purpose computer, the Analytical Engine. She was the first to recognise that the machine had applications beyond pure calculation, and to have published the first algorithm intended to be carried out by such a machine. As a result, she is often regarded as one of the first computer programmers.Ada Byron was the only child of poet Lord Byron and Lady Byron. All of Byron's other children were born out of wedlock to other women. Byron separated from his wife a month after Ada was born and left England forever four months later. He commemorated the parting in a poem that begins, "Is thy face like thy mother's my fair child! ADA! sole daughter of my house and heart?". He died in Greece when Ada was eight years old. Her mother remained bitter and promoted Ada's interest in mathematics and logic in an effort to prevent her from developing her father's perceived insanity. Despite this, Ada remained interested in him, naming her two sons Byron and Gordon. Upon her eventual death, she was buried next to him at her request. Although often ill in her childhood, Ada pursued her studies assiduously. She married William King in 1835. King was made Earl of Lovelace in 1838, Ada thereby becoming Countess of Lovelace.
Her educational and social exploits brought her into contact with scientists such as Andrew Crosse, Charles Babbage, Sir David Brewster, Charles Wheatstone, Michael Faraday and the author Charles Dickens, contacts which she used to further her education. Ada described her approach as "poetical science" and herself as an "Analyst (& Metaphysician)".When she was a teenager, her mathematical talents led her to a long working relationship and friendship with fellow British mathematician Charles Babbage, who is known as "the father of computers". She was in particular interested in Babbage's work on the Analytical Engine. Lovelace first met him in June 1833, through their mutual friend, and her private tutor, Mary Somerville.
Between 1842 and 1843, Ada translated an article by Italian military engineer Luigi Menabrea on the calculating engine, supplementing it with an elaborate set of notes, simply called "Notes". Lovelace's notes are important in the early history of computers, containing what many consider to be the first computer program—that is, an algorithm designed to be carried out by a machine. Other historians reject this perspective and point out that Babbage's personal notes from the years 1836/1837 contain the first programs for the engine. She also developed a vision of the capability of computers to go beyond mere calculating or number-crunching, while many others, including Babbage himself, focused only on those capabilities. Her mindset of "poetical science" led her to ask questions about the Analytical Engine (as shown in her notes) examining how individuals and society relate to technology as a collaborative tool.She died of uterine cancer in 1852 at the age of 36.

View More On Wikipedia.org
  1. Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

    Ni kuhusu baba hampeleki mtoto shule, kwa ufupi tu mtoto anatakiwa aingie Grade 2 lakini hata grade 1 hajaimaliza, baba yake anaforce shule za ada kubwa wakati ameshakwama kimaisha, anamlea katika mazungira ya gharama sana kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa! Mtoto hasomi anasema anasikilizia...
  2. BASATA na Vibali: Uongozi wa Ada Kwanza, Huduma Baadaye

    Kwa hakika, Tanzania tunaendeshwa na aina mpya ya uongozi—uongozi wa “ada kwanza, fikiria baadaye.” Tanzania tuna viongozi vichwa maji kupita maelezo. Barua ya BASATA inayotaka MC wa sherehe na MaDJ wote kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo Januari 31, 2026 imepokelewa kwa mshangao mkubwa na...
  3. Kwenye huu msimu wa sikuku Wazazi tutunze Hela za Ada za watoto wetu hapo January si vizuri mzazi kuwa na maelezo mengi shuleni ya kukosa ada

    Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu. Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla. Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
  4. Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

    Habari? Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela. Mi ninavyojua...
  5. GE2025 ADA TADEA tunagombea Urais Ili Kupata Nafasi ya Pili

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA-TADEA, Juma Ali Khatib, amesema chama chake hakina dhamira ya kumpinga Rais wa sasa, Dk. Hussein Ali Mwinyi, bali kinalenga kupata nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea urais katika...
  6. A

    KERO Wanafunzi wa Chuo Cha SAUT tumenyimwa ID ya special semester ya kwanza licha ya kumaliza ada kwa muhula wa kwanza

    Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika. Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini...
  7. GE2025 Eng Hersi Said kuchangia CCM milion 100 ada zetu za uanachama ni kutudharau sisi wanayanga

    Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama Yanga ni timu ya Wanachama Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM, Au unataka...
  8. WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  9. CCM wavuna bilion 2.2 kupitia ada ya kuchukua fomu ,wagombea ubunge wafikia 4109

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM limekamilika siku ya jana Julai 2, 2025, jumla ya wanachama 5,475 walichukua fomu za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar...
  10. Ada ya Mja Hunena, Muungwana ni Kitendo, Je Tuache Ushindani wa Haki Bila Haja ya Kumshindanisha na Vivuli!, ili Ada Zake Zimnenee Au...?

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo Mada ya leo ni kuhusu "Ada ya Mja Hunena, Muungwana ni Kitendo", nikiuliza je tuache ushindani wa haki kwa wagombea wa ukweli wenye kuleta ushindani, ili tusimshindanishe na vivuli!, ili kuziacha ada za mja huyu ndizo zimnenee hiyo October...
  11. M

    Serikali yaanzisha ada ya magari yanayoagizwa nje ili kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa...
  12. Ogopa sana Dunia ikiamua kukufunza bila ada, unachokidharau kina Uhai wa Watu

    Yule uliemuua ili uchukue pesa zake pale benki.. Ndugu zake walimzika kwa vilio, na Dunia nzima ililaani kitendo kile.. Yule bondia mwenzio ulingoni, uliempiga mpaka akazimia.. Mkewe alipiga kelele akiwa nje, na kusema bado yupo pamoja na mumewe.. Yule rafiki yako mwanfunzi mburula...
  13. K

    Ada ya kuomba mkopo wa vyuo, wasipoupata mkopo HESLB muwe mnawarudishia wanafunzi hela zao

    Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara...
  14. Je, ni kweli tovuti ya Millard Ayo (millardayo.com) haijalipiwa ada ya internet kwa miaka mitano ilopita?

    Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu: Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED! This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years. It will be back online once this is resolved! Kama ni kweli kwanini Millard Ayo...
  15. R

    Kujiunga na Law School 2025: Tangazo hilo hapo ombeni wenye sifa

    Tangazo hilo hapo By the way, ada ya law school ni kiasi gani? My Observation...kozi zote walizoziweka, unazisoma zote darasani 1st year to 3rd year. It is like a repetition..why that repetition?
  16. Serikali iongeze ada ya vibali vya kujenga mahoteli kwenye mbuga zetu

    Kwa sasa kibali kinatolewa kwa dola 20,000 ambacho wawekezaji wengi wanakimudu hivyo kufanya mbuga zetu kuzidi kuharibika na kuathiri asili yake. Kwa mujibu wa muongoza watalii Simon Sirikwa ni kuwa kwa sasa Serengeti imekuwa kama Ngarenaro. Majengo mengi na binadamu wa kutosha. Hii ina athari...
  17. J

    Ada ikizidi inatakiwa urudishiwe baada ya muda gani

    Mimi nimemaliza chuo kikuu cha iringa mwaka 2024 mwezi wa 7 na nishamaliza clearance lakini hela sijarudushiwa nimeandika mbaka barua lakini wapi na ho hela nataka nifanye mtaji ajira hakuna sikuhizi kwa mwenye uzoefu au kama kuna msaada wa kupaza sautii maana hali ni mbaya na ninadai zaidi ya...
  18. F

    Nimeamua kuwatoa watoto wangu private primary school sababu walimu wao wanalipwa mishahara midogo isiyoendana na ada tunayolipishwa

    Watoto wangu nimewaamishia Mlimani primary school iliyopo udsm ambayo ni english medium primary school inayomilikiwa na serikali Siamini kabisa kwenywe primary schools zinazomilikiwa na watu binafsi private school Nilikuwa nalipishwa Ada milioni 2 kwa mwaka , halafu walimu wanaomfundisha...
  19. K

    CRDB kuweni makini. Ada Loan yenu ni huduma nzuri iliyokosa maafisa masoko makini

    Benki ya CRDB wamekuja na huduma mpya inayoitwa Ada Loan. Ni bonge la ubunifu, lakini tatizo ni kwamba maafisa masoko wameifanya kuwa huduma ngumu sana kwa mteja kuipata. Mfumo wa benki unazitaka shule zioanishe mfumo wa shule na mfumo wa CRDB ili mteja alipiwe ada ya mtoto wake. Shule nyingi...
  20. Tuwashangae hawa walio nyuma ya huyu mwanachama anayehamahama vyama na aliyefukuzwa CCM:Ya awamu mbili ni ada na taratibu zisizo ndani ya katiba !!

    Ninamshangaa yeye na walio nyuma yake kwa kupinga mchakato wa uteuzi wa mwenyekiti kuwa mgombea wa urais uchaguzi 2025.... Niwafikirishe hivi ; Ikiwa utaratibu wa "awamu mbili" ni ada na kawaida isiyo ndani ya katiba iweje leo tuikimbilie KATIBA ya chama kwa kuwahoji wale walioisigina ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…