act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC). Tutakwenda mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wawakilishi 14 wa ACT-Wazalendo wagoma kuhudhuria Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi wadai Uchaguzi ulijaa dhulma na uhuni

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sisi Wawakilishi 14 kutoka Chama cha ACT Wazalendo - 10 wa Majimbo na wanne wa viti maalumu vya wanawake - tulilitafakari tukio la uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi na kumpima mtu atakayelihutubia Baraza na majibu yetu yakawa, kwa dhulma iliyopita na uhuni...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Serikali ya Rais Samia imekosa uhalali wa kisiasa kuendelea kuongoza Tanzania, uchaguzi wa Oktoba 29 ni pigo kwa Demokrasia na taifa

    MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025 Chama cha ACT Wazalendo kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichoketi 7 Oktoba 2025 kimefanya tathmini ya kina kuhusu mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 ambao umekuwa pigo kubwa...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Diwani mteule wa ACT na wenzake wengine 10 atuhumiwa na ujambazi

    Wakuu, Diwani mteule wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Mzee Shaban, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kigoma pamoja na wenzake kumi, wakikabiliwa na kesi ya ujambazi wa kutumia silaha, kinyume na kifungu cha 287 cha Kanuni ya Adhabu (Sura ya 16, Marejeo ya 2023). Kwa mujibu wa hati ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, ACT Wazalendo na CHAUMMA wamelinda kura?

    Je ACT Wazalendo na Chauma wamelinda kura? Walisema watalinda kura sisi tulisema hapa huwezi kwenda kulinda kura ambazo hata hazitahesabiwa. Sasa tujiulize ukiacha kufuata posho walizopewa walienda kwenye uchaguzi kufanya nini zaidi ya kuuwa vijana wetu tu na kuchochea hasira za wananchi...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo yalaani Mauaji ya Raia yaliyofanywa na Polisi Oktoba 29

    KAULI YA ACT WAZALENDO KUFUATIA MAUAJI YA TAREHE 29/10/2025 NA SIKU ZILIZOFUATA BAADA YA UCHAGUZI Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa, kilanaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa dhidi ya wananchi kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025, katika maeneo...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Twaha Mwaipaya: Dafroza Jacob wa ACT Wazalendo amefia kituo cha Polisi

    Wakuu, Hizi ni taarifa ambazo zimepostiwa na kada wa CHADEMA Twaha Mwaipaya Huyu alikuwa ni mgombea Ubunge Taarifa Zaidi Kutoka Kwa Maria Sarungi
  8. K

    JamiiForums Tanzania ACT wazalendo kujipendekeza kumewafikisha wapi?

    ACT wazalendo kujipendekeza kumewafikisha wapi?. Ina bidi mfanye uamuzi maana chama chenu kime-mezwa na katiba ya zanzibar ya serikali ya mseto na wale wanzanzibari wenu hawajali tena kushinda zaidi ya kuwa kwenye madaraka na wako tayari kuwa namba mbili na ukweli sio wapiganaji wanapenda...
  9. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Ule mkakati wa ACT kulinda kura umeishia wapi?

    ACT Wazalendo walijitapa watalinda kura zao. Mbona kilio kimeanza kabla ya wakati. Kina Zitto waliwaingiza wenzao chaka kwa vile wana makubaliano maalumu na Mama. Kama nwenyewe anavyodai ni mtoto wake mpendwa.
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea ACT Wazalendo watoa tuhuma Uchaguzi Kura ya Mapema, ZEC yatoa ufafanuzi

    Baadhi ya wagombewa wa nafasi mbalimbali kupitia chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar wametoa tuhuma wakati wa utekelezaji wa zoezi la kura ya mapema ambalo limefanyika leo visiwani Zanzibar Viongozi hao ambao ni pamoja na Omar Said Shaaban Mgombea Uwakilishi Jimbo la Pangawe pamoja na Mgombea...
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wanalia wizi Kura ya mapema: Watu wameletwa kwa Mabasi kupiga Kura bila mawakala ndani ya kituo

    Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ACT Wazalendo wakwama kuapishwa

    Vibwanga vinaendelea na siku zimebaki chache kuelekea uchaguzi huo wa manufaa kwa wachache! Kama kuapishwa imekuwa ngumu, vipi kuzilinda hizo kura si ndio vurugu tupu kabisa. Nasuburi kuona mengi siku hiyo! ================ Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa kata ya Masaba, Wilaya ya Butiama...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rahma Mwita (ACT-Wazalendo): Uchaguzi umegeuka uchafunzi, wasimamizi Mafia hawataki kuwaapisha mawakala wa upinzani

    UCHAGUZI UMEGEUKA UCHAFUZI TENA. JIMBO LA MAFIA Wasimamizi wamekimbia vituo hawataki kuwaapisha Mawakala wa Vyama vya upinzani wanasema wamechelewa na muda wamepanga wao. Hivi ndivyo mlivyowanoa wakimbie vituo. Mtakiona oktoba 29 Pia soma > ACT Wazalendo: Tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kagera: Kuna watu wanasema nasapoti ACT Wazalendo niseme wasiwadanganye. Nimezaliwa CCM nitafia CCM

    Mimi kaniacha hoi baada ya kusema hadi mwanae kama akihama chama cha CCM na kwenda upinzani basi yeye hatohusika naye! Yani kisa chama kweli kabisa unaikataa damu yako? ================ MKUU wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwassa, amekanusha madai ya kushiriki siasa katika Jimbo la Bukoba...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Nimeamini maneno ya CHADEMA 'No Reforms, No Election' baada ya mgombea Urais kupitia chama changu ACT Wazalendo kuenguliwa

    Selemani Said Bungara 'Bwege' amesema alikuwa anashiriki katika uchaguzi na kukiuza chama chake cha ACT Wazalendo, lakini tokea Mgombea wa Urais kupitia Chama chake, Luhaga Mpina aenguliwe ameona ni kama wagombea wote wa udiwani na ubunge kupitia chama ACT Wazalendo wameenguliwa kwasababu...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina akwama Ugombea Urais ACT Wazalendo, Mahakama yatupilia kesi yake mbali

    Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imeitupa kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo, ikieleza kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) haipaswi kuingiliwa na chombo chochote kwa jambo ambalo ilifanya kwa nia njema. Mpina alikuwa akipinga kuenguliwa katika nafasi...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa ACT- Jimbo la Ukonga, Bakari Shingo, avamiwa na Kundi la Vijana Inayodaiwa kuwa Wafuasi wa CCM

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Bakari Shingo, amevamiwa na kundi la watu vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), tukio lililotokea katika eneo la Pugu Mpakani, wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo, ambalo limetokea katika...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Wafuasi wa ACT wameiba mali za CCM, wameharibu bendera, mabango na kuwashambulia Wanachama kwa Mawe

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Baba Levo, amekishutumu chama cha ACT Wazalendo kwa kuonyesha dalili za kushindwa katika uchaguzi, na kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Katika andiko lake, Baba Levo amedai kwamba wafuasi wa ACT wameiba mali za CCM, kuharibu bendera na mabango ya...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Viongozi wapimwe kwa wanavyojali wananchi

    Mgombea wa urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amewataka Wazanzibari kuwapima viongozi kwa vigezo mbalimbali ikiwemo kujali maslahi ya wananchi anaowaongoza. “Mkitaka kupima kiongozi, mpime kwa kiasi hicho au kwa vigezo hivyo, maslahi makubwa ya...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Familia ya Katibu wa ACT Wazalendo, Kigoma yadai kuvamiwa usiku. TAKUKURU yasema ilikuwa ni upekuzi kwa tuhuma ya rushwa

    Familia ya Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Kigoma ambaye pia ni mgombea udiwani wa kata ya Kibirizi, Yunus Ruhomvya, imedai kuvamiwa na watu wanaodaiwa kuwa askari polisi usiku wa kuamkia Oktoba 9, 2025, katika makazi yao yaliyopo eneo la Kibirizi mkoani Kigoma. Kwa mujibu wa mke wa...
Back
Top Bottom