act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano na Waandishi wa Habari na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Februari 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/Dnr2XjQk2GU?si=x1aUXvl0spja3PyI
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Zanzibar yasema haiwezi kusikiliza kesi wabunge ACT

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeamua kuwa haina mamlaka ya kusikiliza kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo kwa kuwa mamlaka hayo yamo mikononi mwa Mahakama Kuu ya Tanzania (Bara). Sikiliza Gumzo la Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo na wakili wa kesi...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Sintofamu kifo cha Diwani wa ACT wazalendo Polisi watofautiana kauli.

    Hali ya sintofahamu imeendelea kutanda mkoani Kigoma kufuatia kifo cha Diwani wa Kata ya Nyamgali kupitia chama cha ACT Wazalendo, Majaliwa Abbas Hamisi, huku kukiwa na mivutano ya kikauli kati ya uongozi wa chama chake na Jeshi la Polisi kuhusu chanzo cha kifo hicho. Chama cha ACT kimelitaka...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ACT Wazalendo, ilikutana na Tume ya Jaji Chande na wakaomba isipigwe picha?

    Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamati Kuu ACT Wazalendo kukutana Januari 18, Dar kujadili ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo itakutana jijini Dar es salaam ikiwa ni kikao chake cha kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015. Katika kikao hicho, Kamati Kuu inatarajia kupokea na kujadili taarifa ya Sekretarieti ya Chama Taifa na kutoa maelekezo ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Maridhiano ya funika kombe tunayakataa, hatutatumika

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameweka msimamo mzito kuhusu mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo yoyote ya "ulaghai" yanayolenga kufunika makosa yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza kwenye...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo set to meet on January 17 or 18 to decide whether to join CCM in the Zanzibar Unity Government

    ACT Wazalendo has taken concrete steps toward joining Zanzibar’s Government of National Unity SUK as talks between the party and the Zanzibar Revolutionary Government reach their final stages. The development follows sustained efforts by the Zanzibar government to persuade ACT Wazalendo to join...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Mahakama kuu imetoa kibali kesi ya kupinga uteuzi wabunge Viti Maalum uliofanywa na INEC

    Leo tarehe 30 Disemba, 2025 Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu Dodoma ikiketi chini ya Jaji Ephery Kisanya imetoa uamuzi wa muhimu katika kesi dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhusu Uteuzi wa Wabunge wa Viti Maalumu iliyofunguliwa na ACT Wazalendo. Katika uamuzi huo mdogo, Mahakama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo si wazalendo!

    Wametia aibu kwa kuhusika kusaport hila , kushiriki chaguzi fake sasa watageuka na kuwa NCCR Mageuzi wangeweza kabisa kuwa chama kizuri lakini waliweka njaa mbele
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Hoja tofauti za Bwege tunazipokea

    "Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama na wengine kuja na hoja ambazo haziendani na misingi ya chama". "Sisi tunaamini katika kumjenga...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nia njema tu: ACT Wazalendo mnakwenda Peramiho kulinda kura?

    Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa! Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako. Amen.
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama Kuu Pemba kusikiliza kesi ya uchaguzi ya wagombea 8 wa ACT Wazalendo leo Desemba 16

    Mahakama Kuu ya Zanzibar Kanda ya Pemba leo Desemba 16,2025 inatarajiwa kusikiliza kesi ya walalamikaji wa Uchaguzi, wakiwemo waliokuwa wagombea wanane wa Chama cha ACT Wazalendo, dhidi ya wasimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Walalamikaji wanadai ukiukwaji wa sheria za...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Siku ya Uhuru watanzania hawakuwa na uhuru

    Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kuadhimisha Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2025 hakukufanana na dhana ya uhuru kwa Watanzania kwani Watanzania hawakuwa huru Kupitia taarifa rasmi ya Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama hicho, Isihaka Mchinjita, ACT imesema hatua zilizochukuliwa na serikali...
  15. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Swali; Je, ACT Wazalendo Zanzibar kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi 2025 ni mkakati maalum kutoka nje ya chama?

    Chama hiki kilidai kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi katika majimbo 25 ya uwakilishi Zanzibar na kikitarajiwa kupiga pia yale ya Ubunge. Huku pia kikiweka pose kuingia kwenye kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar. Swali, je ni mpango maalum baina yao na kundi la Gasom & Zikamziki...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo, Kigoma: Baba Levo na Zitto waliongezewa kura ili zishabiiane na kura alizopata Samia

    Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara mbili. Awali Baba Levo alitangazwa kupata kura 35, 725 naZitto Kabwe kupata kura 16,619, baadaye baada...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT wazalendo: Tunapinga Tume iliyoundwa kuchunguza matukio wakati wa uchaguzi. Si tume ya haki bali kuficha makosa na kuwalinda wahusika

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACT Wazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata iliyotangazwa leo. Tume hii inayojumuisha wajumbe wote kutoka ndani ya Tanzania, wakiwemo maafisa wa serikali...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sakata la wabunge wa viti maalumu, ACT Wazalendo yatinga mahakamani

    Sakata la wabunge wa viti maalumu, ACT Wazalendo yatinga mahakamani.
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kada wa ACT: Mchango wangu katika taifa kupitia siasa umefika mwisho, nataka nitulie na familia yangu, sitaki ugomvi na serikali

    Jamaa kaona ya nini tena baada ya kukaa mahabusu kwa siku kadhaa kaona siasa ngumu kaamua akiche siasa ============= Katibu wa Itikadi Siasa na Uenezi wa Chama Cha ACT - Wazalendo Mkoa wa Njombe Ally Mhagama (Saga Saga), ambaye pia alikuwa mgombea wa Udiwani wa Kata ya Mkongobaki Wilayani...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ZAMBARAU ( ACT)walisaini KANUNI na kushiriki uchaguzi. Baada ya KUBUTULIWA wanasema UCHAGUZI 2025 haukuwa HALALI

    ZAMBARAU walisaini KANUNI na kushiriki uchaguzi. Baada ya KUBUTULIWA wanasema UCHAGUZI 2025 haukuwa HALALI. Lakini wanampongeza ADO kupewa UBUNGE. Pia, wameita wanahabari kulalamika kwanini hawajapewa VITI MAALUM kutokana na uchaguzi HARAMU. Tofauti ya UBONGO wao na MAVI ni JOTO.
Back
Top Bottom