act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Tumeanza mazungumzo na ACT Wazalendo ya malalamiko yao kuhusu Serikali ya umoja ya Kitaifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kuhusu mazungumzo yanayoendelea baina ya chama chake na ACT Wazalendo kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Mara kadhaa viongozi wa ACT Wazalendo ndiyo wamekuwa wakizungumza kuhusu mazungumzo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo wa ACT Wazalendo anatoa neno leo Mei 8, 2026

    https://www.youtube.com/live/1EUtCsWFvso
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hamuwezi kukubalika tena hata mkipiga kelele kubwabwaja ovyo

    Mlishatambulika kuwa mpo Pamoja na CCM na hata wakati wananchi wanapigwa risai ile Oktoba 29 mlikuwa pamoja na CCM mkifanya maigizo ya uchaguzi feki. Leo hii mnazunguka na kujifanya mnapinga uovu na ukandamizaji wa CCM mtandao. Hamuwezi kutoboa hata kitogo.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Isihaka Mchinjita: Tume ya Jaji Chande iliundwa kuwasafisha wahusika wa mauwaji ya Oktoba 2025 badala ya kuwawajibisha

    https://youtu.be/G7NseGbdVVM Kamati Kuu ya ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao cha dharura kilichofanyika jana tarehe 03 Mei, 2026 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif, Makao Makuu ya Chama Dar es Salaam kwa ajili ya kutathmini hali ya kisiasa nchini. Pamoja...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakosea sana kufanya ushirikiano na Act Wazalendo chama ambacho ni kibaraka wa CCM. Naanza kuwa na mashaka na John Heche

    Watanzania wengi wamesikitika sana kuona kuwa eti Act Wazalendo inaungana na Chadema kupinga ripoti ya kada wa CCM Chande Othman. Act Wazalendo ilikuwa pamoja na CCM mtandao. Chama cha mafisadi kwenye uchaguzi feki wa Oktoba 29, 2025 mwaka 2025. Ambao umeshuhudia watu wakipigwa risasi wakiwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo waikataa ripoti ya Jaji Chande. Wasema Tume haina Uhuru, ni chombo cha kulinda wahusika

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wake wa awali kufuatia kupokea taarifa ya Tume ya Uchunguzi wa Mauaji ya Oktoba 2025 iliyowasilishwa leo kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Aprili 23, 2026, chama hicho kimesema kinasimama imara katika msimamo wake wa awali...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Kabaney Mojah, Diwani wa ACT Wazalendo kata ya Oldonyo Sambu, atimkia CCM

    Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15, 2025, na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mojah ametangaza uamuzi huo jijini Arusha alipokuwa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Dk Chakwera apokea ombi la kumtembelea Lissu gerezani, akutana na CHADEMA, ACT, Prof Kabudi

    Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais Mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera leo Aprili 10 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya vyama vya siasa na watendaji wa Serikali jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa vyama alivyokutana navyo ni CHADEMA kilichoongozwa na Makamu...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dorothy Semu: ACT Wazalendo haijutii kushiriki uchaguzi wa Oktoba 2025

    Sasa kwanini mnaendelea kulalamika sasa? tulizeni vichwa sasa sio kelele nyingi ============= Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Dorothy Semu amesema chama hicho hakijutii wala hakitajutia uamuzi wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 huku akieleza kuwa chama hicho kitaendelea...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa ACT Wazalendo Wakamatwa kwa Tuhuma za Kufanya Misa ya Kumuombea Dafroza Bila Kibali cha Polisi

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu amekamatwa jioni ya Marchi 17, 2025 pamoja na viongozi wa Ngome ya Wanawake na wa Mkoa wa Kagera wakati ya misa ya kumuombea Marehemu Dafroza aliyekufa kwenye mikono ya polisi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Wengine waliokamatwa ni Katibu wa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA, CUF, ACT Wazalendo waungana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

    Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha mshikamano na majadiliano ya kisiasa nchini...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yaja na mnara kuwakumbuka waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025

    ACT Wazalendo mnauhakika huu mnara utadumu, maana lolote linaweza kutokea so mjiandae! =============== “Machozi ya mama anayesubiri kurejeshewa mwili wa mwanae ni kilio kisicho na sauti, lakini chenye uzito mkubwa kwa taifa”. Huo ndio ujumbe uliotolewa na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuadhimisha siku ya wanawake duniani kwa maombolezo ya Oktoba 29

    Ngome ya wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo imetangaza maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani itakayofanyika Machi 8, 2026, kwamba wataiadhimisha kwa kuwakumbuka wananchi waliouawa Oktoba 29, 2025 wakitumia kauli mbiu ya “Machozi ya Mama – Deni la Taifa”. Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mpango wa ACT Wazalendo unaheshimisha au kudhorotesha mapambano ya wanawake?

    Wakuu Nimeona kwamba ACT itaahirisha sherehe za wanawake mwaka huu ili kukumbuka vifo vya waliouwawa Oktoba 29 Sasa nauliza kwamba huu ni uamuzi sahihi kwa wanawake? Kwanini wasingeendelea tu na sherehe za zao then wakatumia hizo sherehe kupitisha ujumbe wao?
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo (Abdul Nondo) atema cheche muda huu

    https://www.youtube.com/live/OKUOZERlsJs?si=hSMyZIJG7kS6N1kT ------------ "Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi tulitarajia Waziri Joel Nanauka baada ya kupokea ile hundi aje awaeleze vijana kwamba bilioni 200 zipo...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bwege: Nikiwa ACT Wazalendo, nimeitwa sana mchochezi kwa kusema baadhi ya mambo muhimu na wakinichokonoa na walipuwa

    Bwege ameendelea kuyasema mengi zaidi, ambapo leo amesema wakati yupo ACT Wazalendo ameitwa sana mchochozi kwa kusema mambo muhimu. Soma Pia: Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA Aidha amesema wakimchokonoa basi atawalipua wote, huku akisema viongozi wao walikuwa awana msimano hata katika...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu!

    Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu! Uchungu wa madaraka ya haraka badala ya kupigania mifumo unaweza kudhani inasaidia chama kumbe ni bora uagalie mbali na kupigania mifumo kwanza. Hili ndiyo sababu ya kifo kijacho cha ACT wazalendo. Upinzania wa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yatupa maombi ya wagombea ACT Wazalendo, wafugua kesi upya

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yazuia uharibifu wa vifaa vya uchaguzi katika maombi yaliyofunguliwa na wagombea 17 wa ACT Wazalendo majimbo ya Unguja

    Mahakama Kuu ya Zanzibar, Masjala ya Tunguu, mbele ya Mheshimiwa Jaji Salma Hassan, leo imetoa Amri ya Muda ya Kusitisha Kitendo (Status Quo) katika Maombi Madogo ya Madai Na. 18 ya Mwaka 2026. Amri hiyo imesimamisha rasmi mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wa kuharibu vifaa na nyaraka...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
Back
Top Bottom