act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo ni kama Azam tu na CHAUMMA ni kama Singida Black Stars

    Huu ni ukweli kabisa...ukitaka uamini ona issue ya Maridhiano inavyozungumziwa, ni CCM na CHADEMA. Issue ya Siasa Bongo ni Kama Issue ya Soka ilivyo..Kila Msimu kila agenda hua ni Simba na Yanga. Ikitokea Azam kajitutumua kafanya usajili mzuri ndio unaona anazungumziwa na kupewa jicho na...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Makamu ACT Bara Isihaka Mchinjita: Kusaini tamko la pamoja Zanzibar haimaanishi kuwa ACT Wazalendo imeingia Serikalini

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Tanzania Isihaka Mchinjita amesema kuwa wao walichofanya kusaini ni tamko la pamoja la makubaliano ya kisiasa na CCM na haimaanishi kuwa kimeingia rasmi serikalini, bali ni mwanzo wa utekelezaji wa mageuzi makubwa ya kisheria na kiasasisi nchini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanaongea na waandishi wa habari

    https://www.youtube.com/live/B0XpN97VAG4
  4. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa ACT Wazalendo baada ya kupitishwa bajeti na sheria ya fedha, 2026 katika kulinda katiba, fedha za umma na maslahi ya wananchi

    Salaam Wakuu Hapa Chini nimewawekea Msimamo wa ACT-WAZALENDO kuhusu Sheria ya fefha 2026. Nimeweka Utangulizi na Hitimisho ili kukurahisishia kujua yaliyomo. Hotuba yote nimemekuwekea hapa(bonyeza) ==== UTANGULIZI Wiki moja imepita tangu Chama cha ACT Wazalendo kilipowasilisha hadharani...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam. Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute , Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo??

    Bwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo?? Mkifute tu
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini

    https://www.youtube.com/live/h3i8-aVhzGA https://www.youtube.com/watch?v=G7NseGbdVVM Leo Juni 23, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu ameongoza uwasilishaji wa Uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027. "Bei ya mafuta imeshuka katika soko la dunia kutoka Dola...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inawezakana kweli maalim Seif kajutia kuungana na ACT wazalendo. Chama kimekufa Zanzibar

    Nilipotembelea Zanzibar hivi karibuni, nilibaki na maswali mengi kuhusu hali ya ACT Wazalendo. Chama ambacho kilikuwa na mvuto mkubwa wa kisiasa, kilichokuwa na mikutano yenye hamasa, matawi yenye shughuli na wanachama waliokuwa na matumaini makubwa, leo kinaonekana kupoteza nguvu zake kwa kasi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yaendesha mafunzo maalum kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho, yatafanyika kwa siku tatu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, leo tarehe 12,Juni 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendelea kwa siku tatu hadi Juni 14, 2026. Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na kutakiwa...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu azindua mafunzo Baraza Kivuli ACT Wazalendo

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juni 12, 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendela Kwa siku tatu hadi Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao,pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Bifu zito CHADEMA na ACT Wazalendo

    Mpasuko na mivutano ya kisiasa ndani ya kambi ya upinzani nchini Tanzania umezidi kushika kasi kufuatia mfululizo wa shutuma na majibu makali hadharani kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na chama cha ACT Wazalendo. Ugomvi huu mpya umeibuka kufuatia mkutano wa hadhara wa CHADEMA...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitwaa ngome ya Act wazalendo. Kilwa yazizima. Chama cha Zitto hakikubaliki tena

    Kilwa kivinje iliyokuwa ngome kuu ya Act wazalendo sasa ni Chadema tupu. Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Rais amfute kazi Mwigulu Nchemba ameshindwa kutekeleza majukumu yake

    Act wazalendo wamedai kuwa Waziri mkuu ameshindwa kusimamia majukumu hasa usalama wa raia. Hii ni baada Bibi mzeee kulia mbele ya waziri mkuu kuwa mtoto wake ametekwa na polisi tangu Aprili 21 lakini hakupata msaada Au sababu wanaotekwa wanaigiza?
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka ulifanya kosa kubwa sana kugombea ubunge kupitia Act wazalendo huku ukijua ni chama kisichofaa

    Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi. Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo. Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo acheni uduwanzi wa kisiasa. Kama mlitambua tume ya uchaguzi ni batili na haiko huru mliingia kwenye uchaguzi ili iweje?

    Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74. Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani. Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Act Wazalendo acheni uduwanzi wa kisiasa. Kama mlitambua tume ya uchaguzi ni batili na haiko huru mliingia kwenye uchaguzi ili iweje?

    Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74. Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani. Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
  18. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?si=_psmu3H58c7p20re...
  19. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?is=Wg_4_djGZTsIrnyM
  20. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Msajili wa vyama vya Siasa aache vitisho na hujuma dhidi ya vyama vya Upinzani

    Msajili wa Vyama vya Siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) (barua ya tarehe 07 Mei, 2026 yenye kumbukumbu namba HA. 322/362/16A/22) akikitaka kijieleze kwa nini kisisimamishwe usajili wake au kutozwa faini kwa kile alichokieleza kuwa ni 'ukiukaji wa sheria ya vyama...
Back
Top Bottom