abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya Bajaji ya Abiria kwenye Jiji la Arusha

    Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha? Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa Siku ama wiki, mwenye uzoefu na hii kitu naombeni jamani! Pia soma: Wazoefu wa biashara ya boda...
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto za madereva na abiria wa Uber na Bolt. Tupia yako

    Habari za leo wanajamvii, natumai wote mko salama. Kuna vituko na visa vingi tunapitia kama abiria na madereva wa taxi mtandao yaani huduma za uber, bolt na nyinginezo. Hebu tutoeni ushuhuda wa matukio mbali mbali yaliyowahi kutupata na kutufurahisha ama kutukasorisha. Hii ilitokea kama dereva...
  3. JamiiForums Tanzania Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

    Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Chama cha Kutetea Abiria (CHAKUA)

    Kwa mara ya kwanza leo nimepata kusikia kwamba kuna chama cha kutetea abiria pale ambapo mwenyekiti wake alipokuwa anahojiwa TBC1 katika kipindi cha usiku wa habari, alikuwa anahojiwa juu ya tukio la jana (1/5/11) madereva wa mabasi ya kwenda mkoani kugoma. Swali langu ni kwamba chama hiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…