Search results

  1. TihZ

    Hivi ni sisi tu Watanzania au kuna wengine wapo hivyo pia?

    Mimi binafsi navutiwa na mambo ya graphics, hasa kuchora katuni kwa kutumia adobe illustrator (ingawa sijasomea bali najifunza kupitia tutorials mbalimbali). Nilitoa wazo katika kundi fulani facebook, kwamba tuunde kundi la whatsapp ambapo tutakuwa tunasaidiana na kuelekezana kuhusu mambo hayo...
  2. TihZ

    Tujadili hili

    Ni changamoto zipi ambazo mwanalugha anaweza kuzipata anapojishughulisha na semantiki na pragmatiki.
  3. TihZ

    Msaada wadau

    Nina smartphone,Huawei Y300 tatizo lake imekuwa inaniletea ujumbe huu "Unfortunately, the process com.google.process.gasps has stopped" kiasi kwamba nashindwa kuitumia kabisa na nimejaribu factory reset lakini bado city havifutiki. Mwenye wazo/msaada naomba nisaidiwe.
  4. TihZ

    nisaidieni wadau..tafadhali

    Nilikuwa natumia adobe illustrator CS6 ila muda wake wa trial umeisha na nimejaribu kutumia crack files bila mafanikio yoyote je mnaweza kunisaidia niweze kuitumia application hiyo.
  5. TihZ

    Msaada

    Habari wadau nahitaji msaada,naomba mwenye serial numbers za adobe illustrator CS6 anisaidie.
  6. TihZ

    Naomba kufahamu gharama za kubadilisha kioo cha HP Elite book

    Nina laptop yangu ya Hp EliteBook 6930 umeharibila kioo nahitaji kujua gharama za kubadilisha kioo
  7. TihZ

    Ushauri unahitajika

    Kuna baba fulani hapa mtaani kwetu ana tabia ya kumtaka kila binti atakayemtamani na kibaya zaidi kuna tetesi za chinichini kuwa ni muathirika.Tabia yake imezidi sasa kwani nimegundua ana mahusiano na ndugu yangu ambaye ni mgeni na huu mtaa,baada ya kugundua hilo nikamfuata ndugu yangu na...
  8. TihZ

    Ni majanga

    Mapenzi siku hizi yamepoteza ladha kama sio uhalisia. 1.Mapenzi yanekuwa ya kifacebook mnapongezana kwa kulike na mnapongombana au mnawasiliana kwa kucomment. 2.Mkitakakuonana mnatumia picha whatsapp(zile picha kujiandaa) sasa mtajuana na kusomana lini. 3.Bahati nzuri ikatokea mmefikia kwenye...
  9. TihZ

    Hivi kwanini inakuwa hivi?

    Nina mpenzi wangu tuna mwaka sasa katika penzi letu ingawa mwenzangu anaonekana kutonijali kama mimi ninavyomjali yeye ila miezi miwili iliyopita kuna msichana mmoja alitokea kunizoea sana kushinda hata huyu mpenzi wangu,alikuwa akinijulia hali kila inapowezakana kuzidi hata huyu mpenzi wangu...
  10. TihZ

    Matokeo ya darasa la saba

    Ningependa kufahamu ikiwa nitaweza kuyapata matokeo ya darasa la saba ya mwaka 2005.Naombeni msaada jinsi ya kuyapata
  11. TihZ

    Kweli siku hizi tunadanganyana

    Nina girlfriend wangu nilikuwa sina imani naye na nilikuwa nina wasiwasi kuwa ananicheat ila sikuwa na uhakika ila siku nilipoijua password yake ya facebook ndipo nilipopata uhakika na mbaya zaidi kumbe alushatoa hadi mimba kabla ya kuwa naye.Kwa sasa nina amani moyoni kwa sababu nimeshamjua...
  12. TihZ

    Nahitaji kufahamu bei ya Magodoro

    Habari wanaJf nilikuwa naomba kujuzwa bei ya magodoro hasa la futi 5×6(inchi 8) Kama ni la Comfy,Dodoma au kampuni nyingine.
  13. TihZ

    Ananitatiza huyu mwenzangu

    Nina girlfriend wangu nilipotezana naye tangu mwaka 2007 kwa msaada wa social network nikaonana naye mwaka huu mwanzoni baada ya kuwasiliana naye kwa muda nikamwelezea hisia zangu akanielewa ila tatizo inaonekana mchango wake ni finyu katika penzi letu hata kuwasiliana mpaka nimuanze mimi saa...
  14. TihZ

    Naombeni msaada wa Jf

    Natumia Huawei Y300 tatizo ni kwamba inakataa kuplay video YouTube..Naombeni msaada kwa anayefahamu utatuzi
  15. TihZ

    naombeni msaada

    Natumia Huawei Y300 lakini inakataa kuplay video YouTube pia natumia line ya Tigo
  16. TihZ

    Habari zenu wana jf

    Mi ni kijana wa miaka 21 nipo chuo mwaka wa kwanza nilikuwa naomba mnishauri nitaweza kujipanga vipi katika maisha hasa katika kujitegemea.Wazo langu la kwanza ni kununua kitanda muda si mrefu kama kuna mengine ningependa mnijuze.....ahsanteni
  17. TihZ

    Naombeni msaada

    Natumia nokia X2-01,nahitaji ku'unlock memory card yangu yeyote mwenye ufahamu katika hili naomba mnisaidie
  18. TihZ

    Naombeni msaada jamani

    Nataka kujua jinsi ya kuhesabu namba kuanzia moja mpaka ishirini katika lugha ya Kiyao
  19. TihZ

    Msaada katika hili

    Naombeni msaada wa link ambazo ninaweza kupata maelezo mazuri kuhusu ubinafsishaji hasa nchin Tanzania
  20. TihZ

    Tujadiliane juu sekta binafsi kubinafsishwa

    Ubinafsishaji umepelekea vipi utofauti katika utolewaji wa huduma za jamii kati ya sekta binafsi na sekta za kijamii( mfano katika elimu au afya)
Back
Top Bottom