TihZ
Senior Member
- Jul 31, 2012
- 158
- 26
Nina girlfriend wangu nilipotezana naye tangu mwaka 2007 kwa msaada wa social network nikaonana naye mwaka huu mwanzoni baada ya kuwasiliana naye kwa muda nikamwelezea hisia zangu akanielewa ila tatizo inaonekana mchango wake ni finyu katika penzi letu hata kuwasiliana mpaka nimuanze mimi saa nyingine huwa navumilia labda atabadilika ila naona yupo vile vile tatizo silielewi ni kwamba alikubali kuwa kisa tulifahamiana kitambo au basi tu ananitatiza mwenzangu