Nahitaji kufahamu bei ya Magodoro

Nahitaji kufahamu bei ya Magodoro

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Habari wanaJf nilikuwa naomba kujuzwa bei ya magodoro hasa la futi 5×6(inchi 8) Kama ni la Comfy,Dodoma au kampuni nyingine.
 
Comfy 5*6 8" Kariakoo ni arround 160000-140000....
 
Na comfy au tanfoam lenye size 6*6, 12" ni bei gani?
 
bei ya nchi 8 godoro dodoma mwaka huu mwenye update Za bei anijuze
 
Daah... Wakat naanza maisha nilinunua godoro la Comfy 5x6 inchi 10....

Sasa hivi naliona kubwa kishenz... Hata halionekani kuisha wala kubonyea.. Mpaka linanikera... Nataman niliuze ninunue kadogo tu ka inchi 6 au 8.
 
Back
Top Bottom