Search results

  1. K

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Ubungo Riverside - 1,400 sqm

    Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km Ukubwa ni 1,400 square metre Bei ni 90m Piga 0625617565 Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni kikubwa.
  2. K

    Natafuta kiwanja Mbweni, budget Mil.70

    Mbweni JKT vinapatikana kwa sh ngapi?
  3. K

    Nitapata wapi Powerful Laptop (Mobile Workstation)?

    iwe brand new, Ni kwa ajili ya CAD
  4. K

    Nitapata wapi Powerful Laptop (Mobile Workstation)?

    Nahitaji laptop powerful iwe; 1. DELL au HP 2. 15 inch screen size and above 3. Numeric keyboard 4. 11th generation and above 5. Minimum Core i7 Wapi naweza pata?
  5. K

    Engineers wa barabara za Tanzania

    Poor design. Hazina tija babisa. Ni uharibifu wa magari. Kuna njia nyingi rafiki za ku-control speed bila hizo rummble strips nene.
  6. K

    Nahitaji mashine ya kuchambua mchele kuutenganisha na uchafu

    Mashine za ya kukoboa nunua za kichina. Ukitaka complete set ya de-stoner nk. agiza sido watakutengenezea kwa order.
  7. K

    Nahitaji mashine ya kumenya karanga

    Uko wapi? Mashine zipo Kahama import and export commercial agency. Wako Morogoro road/jamati street, Dar city centre. Pia wapo Kahama. Mpigie sales officer 0713637735, 0784637735, 0754637735
  8. K

    Tujuzane Bei ya mahindi ulipo

    Kweli?
  9. K

    Tujuzane Bei ya mahindi ulipo

    Urambo-Tabora=5000 debe
  10. K

    Specialist wa masikio nitampata wapi?

    RIP. Alikuwa Dr mzuri sana. Alinitibu. Tatizo lilikuwa ni allergy.
  11. K

    Fundi Engine ya RAV4

    Fundi mzuri sana huyu yuko mwenge 0714476986, 0768795503 DENIS
  12. K

    Natafuta mashine ya kukoboa karanga

    Natafuta mashine ya kubangua karanga. Ningefurahi pia kama ningepata ushauri wa aina ya mashine inayofaa zaidi. Asanteni
  13. K

    Nahitaji german shepherd dog

    weka picha
  14. K

    Nahitaji german shepherd dog

    Hamjambo? Nahitaji mbwa jike na dume, PURE GERMAN SHEPHERD (WORKING LINE). Ni vizuri nikiwapata kutoka kwa breeder. Kama unauza au unajua sehemu ya kuwapata nijulishe tafadhali.
  15. K

    Kiwanda gani naweza fungua/anzisha kwa gharama ya millioni nne?

    Asante sana. Umenipa mwanga . Nitafuatilia na nikipiga hatua nitakujulisha.
  16. K

    Kiwanda gani naweza fungua/anzisha kwa gharama ya millioni nne?

    Nimekuwa interested na peanut butter ila changamoto naona iko kwenye bidhaa kuweza kupenyeza sokoni pamoja na vibali kama vya TFDA na TBS. Nahitaji mwanga zaidi.
  17. K

    Msaada wa haraka: Nahitaji njia rahisi ya kupokea mzigo toka Senegal

    Senegal! Anayekutumia kama humjui jua kabisa utaingizwa mjini.
Back
Top Bottom