Search results

  1. Bandabichi

    Hi maneno hiiiiiiiiii

    Habari wana jamvi, Hongereni kwa shughughuli za kujenga taifa. Mapenzi upofu, Kwa wale madereva ukiwa barabarani na kama kuna hatari mbele lazima dereva aliye mbele atakupa ishara kwa kukuwashia taa akimanisha kuwa uendako kuna hatari, Ama ukiwa kwenye makutano ya barabara kuna taa za...
  2. Bandabichi

    Dawa hizi zina athari gani mwilini

    Kuna hizi dawa/vidonge, VITA CAP NA STROM-50. Je hizi mtu akitumia zinaweza kushusha presha na mgojwa kuishiwa nguvu. Sababu kila akizitumia ndo anakuwa hivyo ni sababu ya hizi dawa ama kuna kingine.
  3. Bandabichi

    Wataalam wa research msaada katika tuta.

    Heshima mbele wakuu. Hii maneno inanipa taabu sana. CONCEPTUAL FRAMEWORK katika kukamilisha concept note ya title yangu wakuu. Naandaaje conceptual framework. Tatizo lipo kwenye relation kati ya concept na variables tafadhali. natanguliza shukrani.
  4. Bandabichi

    Hii imekaaje wakuu

    Heshima mbele wakuu wa jamvi. Hapa nyumbani kuna dada angu yupo darasa la nne, Juzi alikuwa anaumwa akapelekwa haospitali. Akapima mkojo kwa ajili ya UTI. Majibu yakatoka Daktari akasema mkojo wake ni mzito na una ute. Na akashauri asile nyama, Samaki, maharagwe. Ila dawa alipewa. Hili ni...
  5. Bandabichi

    Ipe maneno hii.

    Katika pitapita huko mitaa ya uso wa kitabu.
  6. Bandabichi

    Tafadhali mwenye kujua namba hii.

    Tafadhali mwenye kufahamu na hii +255 22 216 1198 ni taasisi gani coz nimepishana na call yake nikakuta missed call kuwapigia tena hawapokei.
  7. Bandabichi

    Naoma kujua kituo cha review classes Dodoma

    Heshima mbele wakuu, Kwa wakazi wa Dodoma, Ningependa kujua kituo cha Review classes kwa masomo ya Bodi ya Wahasibu (NBAA) kwa hapa Dodoma na namba, na mawasiliano yao. Niweze kufanya maandalizi ya makitu wakuu. Especially module "E" Noeli njema na Heri ya mwaka mpya. Tusheherekee kwa...
  8. Bandabichi

    Asali inamuumiza tumbo.

    Heshima mbele wakuu. Nina rafiki yangu (ke) kila akila asali tumbo anadai linakwangua au linamuuma. Hii mambo inasababishwa na nini? Ushauri wa kitaalamu.
  9. Bandabichi

    Magoti yangu .

    Heshima mbele wakuu. Ninafanya mazoezin kila sikun asubuhi si unajua afya na pumzi kwa ajili ya mambo yetu yale, Unaweza ukaishia Chalize maake hiyo spidii yake usipime. Sasa basi magoti yanakuwa yanaisha ile fluid na yanakuwa yanakwangua sana mpaka nashindwa kuinuka Je tatizo ni nini? na...
  10. Bandabichi

    Msaada Nahitaji Vitabu hivi.

    Heshima mbele wakuu. Nahitaji vitabu hivi tafadhali, na miko mbali na Dar es salaam wanajamvi. 1 : Gupta S P ( 2003), Statistic Method, Sultan Chand & Sons Education. 2 : Amin M E (2005), Social Science Research conception and Analysis. Makerere University. 3 : Krishnaswami O R (2003)...
  11. Bandabichi

    Moderm yangu ya Airtel inazingua

    Habari wakuu wa jamvi. nikwamba nimenunu modem mpya kila nikiconect inatoa maneno kama haya ( the computer temineted connection coz pot used were closed)
  12. Bandabichi

    Jamani mama mwenye nyumbaa!!!!

    Nimehamia nyumba hii sina zaidi ya miezi miwili, Huyu mama bado ni binti na mtoto wa miaka mitatu hivi, tunaishi mimi na yeye nyumba nzima. sasa vituko haviishi mara atoke chumbani kwake kifua wazi, mara sidiria na skinitaiti, mara kanga ndembendembe na mimi ndo bado. Mzee ni kibopa mjini so...
  13. Bandabichi

    Nimesahau password ya Email yangu

    Heshima mbele wakuu, Tafadhali nimesahau password ya email address ya gmail msaada unafanyaje kuirudisha.
  14. Bandabichi

    R I P Mr Mbigiri Mwana CCM mkongwe

    Yule mwana CCM mkongwe kutoka mkoani Iringa na aliyewahi shika nyadhifa za kutosha nadani ya CCM amefariki dunia Juzi Ijumaaa Hospitali ya Taifa Muhimbili na anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Ihimbo, Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa. Katila historia yake ya kazi ameshawahi kupigwa kibao na mlinzi...
  15. Bandabichi

    Naomba kujua utaratibu wa kupata mafao ya kujitoa ktk mifuko ya jamii

    Heshima mbele wakuu, naomba kujua utaratibu wa kupata mafao yako kupitia mfumo wa FAO LA KUJITOA. Je inchukua mda toka tarehe ya kuacha kazi. Coz nimeacha kazi hivi karibuni na nataka mkwanja huo unisaidie mtaani kwa issue nyingine kuna kama 4.5 ml hivi. Heshima mbele wakuu.
  16. Bandabichi

    Muhimbili na secretarieti ya ajira wameita.

    Heshima mbele wakuu wa jamvi. Leo nimepigiwa simu na sekretarieti ya ajira kutakuwa na interview muhimbili. Tafadhali nilikuwa sehemu mbaya kidogo kwa hiyo umakini haukuwepo na binti alikuwa na haraka. Mwenye taarifa tujuzane zaidi wakuu. Jioni njema.
  17. Bandabichi

    Nahitaji bodaboda

    habari wanajamvi. Nahitaji pikipiki aina ya SUN LG CC 150 kwa hapo Dar duka gani napata kwa bei nafuu. Coz huku mikoani bei kinyama.
  18. Bandabichi

    Nahitaji bodaboda

    Habari wakuu wa jamvi. Naitaji Bodaboda aina ya SUNLG CC 150 kwa hapo Dar duka gani lina bei nafuu.
  19. Bandabichi

    Kwa wale waliofanya usaili utumishi kwa mwezi August 2012

    Kwale waliofanya usaili kwa mwezi wa Agasti 2012 majina haya hapo pitia
  20. Bandabichi

    Naomba msaada wa daktari

    Habarini za jioni. Naomba msaada, rafiki yangu wakati wa hedhi anableed kidogo sana na ni kwa muda wa siku mbili tu. Tukila chakula cha bwana anatokwa na damu, wakati anakuwa katoka hedhi zaidi siku kumi. Je tatizo ni nini jamani wataalamu?
Back
Top Bottom