Naoma kujua kituo cha review classes Dodoma

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Heshima mbele wakuu,

Kwa wakazi wa Dodoma, Ningependa kujua kituo cha Review classes kwa masomo ya Bodi ya Wahasibu (NBAA) kwa hapa

Dodoma na namba, na mawasiliano yao. Niweze kufanya maandalizi ya makitu wakuu. Especially module "E"

Noeli njema na Heri ya mwaka mpya.

Tusheherekee kwa Amani na Upendo.
 
nenda barabara ukiwa unaelekea whitehouse ya CCM tokea sabasaba, opposite na mgahawa wa jengo la bima utaona bango la kituo cha mafunzo ya ushonaji, panamilikiwa na kanisa la anglican, humo ndani ulizia, contakt zao ntakuulizia
 
Aksante kiongozi, ntawacheck kesho. Vipi wako vizuri, si unajua bado kidogo matokeo ya wale wa Novemba yanatoka. Na sisi tuanze maandalizi mapema kaka.
 
komaa kaka, wapo vizuri sana hao jamaa, juhudi pia inahitajika
 
Poa hakuna taabu, maana gap la mshahara ni kubwa saana, watoto wadogo wanalipwa kwa digit 7 mkuu.
 
ndo mpango mzima kaka, kuipata ile makitu inahtaji kujitoa muhanga, si mchezo. ukiipata hyo unakaribia kuaga toka kwenye umasikini. ila unajua kua wameweka research this time?
 
Poa tu ndo kupambana mkuu, hakuna kulala kabisa kwa hapo. Reseach wacha waweke tuu tutapambana tuu. Ninaoiga postgraduate chuo kimoja hapa Dodoma ntakuwa wa kutosha tuu kusoma hii makitu mkuu.

hahaha, nimeshakijua hicho chuo, nami nilipitaga hapo. kamua baba
 
ndo mpango mzima kaka, kuipata ile makitu inahtaji kujitoa muhanga, si mchezo. ukiipata hyo unakaribia kuaga toka kwenye umasikini. ila unajua kua wameweka research this time?

Research ni kuanzia Sitting ya November 2013 hiyo ni kutokana na Syllabus mpya itakayoanza kutumika muda huo na hiyo Research itakuwa ikifanyika baada ya kuclear masomo yote I mean baada ya kumaliza Module F
 
Poa hakuna taabu, maana gap la mshahara ni kubwa saana, watoto wadogo wanalipwa kwa digit 7 mkuu.

Usiwe na over expectations kwenye CPA maana utajikuta ukiisoma kwa tension na matokeo yake ukawa unafanya vibaya katika matokeo au hata cku ukiipata utajikuta unakuwa stressed baada ya kuona hali halisi ya mfumo mzima wa kiutendaji. Soma kwa malengo ya kutaka kugrow ktk career yako ya Accountacy na co kwa malengo ya kutaka kupata mshahara mnono.
 
Heshima mbele wakuu,

Kwa wakazi wa Dodoma, Ningependa kujua kituo cha Review classes kwa masomo ya Bodi ya Wahasibu (NBAA) kwa hapa

Dodoma na namba, na mawasiliano yao. Niweze kufanya maandalizi ya makitu wakuu. Especially module "E"

Noeli njema na Heri ya mwaka mpya.

Tusheherekee kwa Amani na Upendo.
Piga kwa watu wa Ap Financial Consultancy (0715 482070,0754...) . Matokea yanatoka kesho kutwa!!!
Matangazo yatakuwa Mengi!!!
Usihofu wanaopotosha na kutisha juu ya ugumu wa CPA(T). Fanya juhudi ukasome na umutumaini Mungu utashinda!!
 
Kaka kuna lengo kuu na malengo mahususi katika mipango ya maisha, Mshahara ni moja ya malengo mahususi so usihofu kwa hilo ndg.

Usiwe na over expectations kwenye CPA maana utajikuta ukiisoma kwa tension na matokeo yake ukawa unafanya vibaya katika matokeo au hata cku ukiipata utajikuta unakuwa stressed baada ya kuona hali halisi ya mfumo mzima wa kiutendaji. Soma kwa malengo ya kutaka kugrow ktk career yako ya Accountacy na co kwa malengo ya kutaka kupata mshahara mnono.
 
Mi mwalimu kwenye hicho kituo hicho tuwasiliane kwa 0753416042 karibu kwenye ulimwengu wa wahasibu
 
Back
Top Bottom