Moderm yangu ya Airtel inazingua

Moderm yangu ya Airtel inazingua

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Habari wakuu wa jamvi.

nikwamba nimenunu modem mpya kila nikiconect inatoa maneno kama haya ( the computer temineted connection coz pot used were closed)
 
kiaje sasa ndugu inatakiwa ueleze tatizo usaidiwe inakuzingua kiaje..
 
Habari wakuu wa jamvi.

nikwamba nimenunu modem mpya kila nikiconect inatoa maneno kama haya ( the computer temineted connection coz pot used were closed)

Embu elezea vizuri tatizo lako, Ulijiunga na bando au uliweka hela, Baadhi ya line za airtel zinakuwa hazija be activated kutumia Internet unaweza wapigia customer care wataiactivate within few minutes, au unaweza weka kwenye simu yenye uwezo wa net then tuma neno all kwenda 232 inaweza kuwa activated.
 
Back
Top Bottom