Naomba msaada wa daktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa daktari

Discussion in 'JF Doctor' started by Bandabichi, Sep 6, 2012.

 1. Bandabichi

  Bandabichi JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarini za jioni.
  Naomba msaada, rafiki yangu wakati wa hedhi anableed kidogo sana na ni kwa muda wa siku mbili tu.

  Tukila chakula cha bwana anatokwa na damu, wakati anakuwa katoka hedhi zaidi siku kumi.

  Je tatizo ni nini jamani wataalamu?
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Dakitali unataka wa chienyeji ama wanchizungu?
  Huyo atakuwa na tatizo ambalo linaathiri hormones zake. Anahitaji kuonana na daktari bingwa wa wanawake. Ataandikiwa kipimo cha damu kuangalia hormones zake na kupigwa picha ya kizazi kuangalia kama ana uvimbe. Hivyo vikiwa sawa daktari ataamua test gani nyingine ya kufanya (anaweza kufanyiwa pap smear pia kuangalia kama kuna tatizo lingine)

  Pole sana. MziziMkavu akija atakupa prescription ingine.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Bandabichi

  Bandabichi JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Aksante sana kwa ufafanuzi wako mzuri, ngoja nimsubili na MziziMkavu ijapokuwa huo huwa hauchimbwi dawa.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Fafanuwa hapo Ni nini (Chakula cha Bwana)? Kama ndio hivyo bora musile hicho chakula cha bwana Bandabichi au unataka awe anatoka Hedhi siku ngapi wewe?

  Mkuu King'asti umemjibu Vizuri sana asante
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. O

  Obadia Luyagaza Member

  #5
  Jun 15, 2016
  Joined: Jun 7, 2016
  Messages: 25
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  BIASHARA YA MTANDAO NI NINI
  ni mfumo wa biashara ya karne ya 21 ambayo inakupa fursa ya kumiliki biashara yako mwenyewe kwa mtaji kidogo na bla kuathili shughuli zako zngne, na hatimaye kujitengenezea kipato endelevu pasipo kutumia nguvu,mda na akili nyingi sana.

  RIFARO AFRICA LTD
  wao wana sema "SIMU YAKO JEMBE LAKO"
  1. Je, umewahi kulipwa kwa matumizi yako ya vocha?
  2. Je ,unajua kuwa vocha ni bidha inayoweza kukupa kipato kikubwa cha ziada?

  Rifaro Africa ltd ni kampuni ya kitanzania inayofanya biashara ya mtandao kupitia mda wa maongezi(vocha) kwa kushirikiana na makampuni ya TIGO,VODACOM,AIRTEL NA ZANTEL

  UHALALI WAKE,
  leseni no.178933
  Tin no.124-401-917
  Brela reg.no 109753
  Tcra no.15420

  INAFANYEJE KAZI

  1.Mfumo huu utakuhitaji kuwa mwanachama hai WA Rifaro, mtumiaji WA vocha NA pia kuwashirikisha ndg,jamaa,na MARAFIKI kujiunga kwenye biashara hii.

  UNAFAIDIKAJE
  1.kipato cha wiki
  Hiki kinalipwa kutokana NA watu wanaojiunga katika timu ya biashara yako kulipwa kwa vizazi 15.

  2.kipato cha mwezi
  Hiki hulipwa kutokana na matumizi yako ya mda wa maongezi pamoja NA matumizi ya timu yako. Malipo hufanyika kila mwisho WA mwezi.mwanachama anatakiwa awe ametumia Tsh.15000/=

  3.UNACHOTAKIWA KUFANYA
  Ni kuiona fursa NA kukubali kuwa ni yako,kisha uwe NA mtaji kidogo sana WA Tsh.128500/= kuanza biashara Hii maridhawa

  4. UTAKAPO JIUNGA UTAPEWA
  a. Namba ya uanachama
  b. ATM card (2000/=Salio ndani take)
  c. Kitabu cha biashara
  d.website( kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako,kuna biashara yako yote)
  e.DVD ya mafunzo
  f.5000/= Salio vocha
  Vyote hivyo hutolewa bure kabisa Mara baada ya kujiunga.

  SASA UTAJIUNGAJE?

  Popote ulipo Tanzania tumekufikia, tuna vituo vyetu karibu nchi nzima

  Unachotakiwa ni Tsh.128500/=,kitambulisho chako, simu yako ya mkononi(yoyote) namba yangu ya uanachama ni OBADIA LUYAGAZA -R528559

  WASILIANA NAMI KUPITIA
  obadialuyagaza@gmail.com
  0657774409
  0753416810
  Wakati wowote.
   
Loading...