Search results

  1. leh

    Selective Call Forwarding

    Wadau, kuna mahali nataka niende niache ofisini sipatikani. Tatizo ni kwamba bado nataka niwe hewani kwa watu wengine wote, iwe tu namba za ofisini ndio hawanipati. Najua kuna uwezekano wa call forwarding kwa namba zote (on condition or always), lakini nachotafuta ni kama namba kumi hivi...
  2. leh

    Msaada Kupiga Simu Australia

    Nilikuwa najaribu kujiunga kifurushi cha kimataifa kwa line ya airtel ili nipige Australia lakini nikakuta hawana international bundle inayoniruhusu kupiga huko. Naona Tigo pia kama hawana. Naomba kuuliza kama kuna mtu mwingine humu ndani hupiga simu huko na anatumia mtandao gani.
  3. leh

    Msaada BancABC na Paypal

    nimechukua Visa TravelMoney card pale BancABC ya dollars na kuweka vijisenti. nilikamilisha kila kitu na nilipoenda nyumbani nikaunganisha card na PayPal. tatizo linatokea kwamba haikubali transactions zozote. nilifanya verification PayPal walikata $1.95 ila hawakurudisha. ni wapi ninapotea...
  4. leh

    4G vs. 3G Speeds

    kutoka Vodacom watoe 4G yao, naona watu wanalinganisha speeds za Halotel na 4G. mwenyewe kama mtumiaji wa Halotel bundle ya usiku, nawapenda sana, lakini kulinganisha speeds za 4G na 3G ni kitu kiingine. nimeona ni vizuri nifanye tests mwenyewe nijue kama kweli speeds zinalingana. for those...
  5. leh

    Msaada: Port Forward Tigo Modem

    Natafuta jinsi ya kufungua ports kadhaa kwenye Modem ya 4g. Hii ni kwa kusudi ya kufungua NAT type kwenye PS4/ Xbox. Naomba msaada kwa wakuu wa hapa kama Chief-Mkwawa na Njunwa Wamavoko. Kama haiwezekani kwa Tigo,kuna uwezekano wa mtandao mwingine? Maana kwenye dashboard ya Airtel naona kuna...
  6. leh

    PayPal Transaction

    natafuta mdau ambaye ana dollars kwenye PayPal yake tufanye biashara maana nimechoshwa ni CRDB. sijaweka post kwenye matangazo maana watumiaji wengi wa PayPal wapo humu ndani
  7. leh

    Natafuta Xbox Controller

    kama heading inavyosema, natafuta Xbox 360 controller au battery pack yake. ni PM mwenye nazo
  8. leh

    Camera for Sale

    Olympus E-20 for sale. camera ya 5MP DSLR imauzwa fast a 350k. contact Leh @ 0753 038174
  9. leh

    Nifunzeni Kiswahili. maana ya neno BURE

    sina shida na Airtel au huduma zao, lakini nataka kujua kwann hawa jamaa wa mitandao wantumia maneno ya kihuni kila siku na TRA wako wap? maana ya neno bure ni nini kama sio *bila malipo*?? maana mi sio msomi sana wa Kiswahili, lakini kwa Kimambo, free ni *without cost or payment*. hiyo Elfuna...
  10. leh

    Sababu zangu Tano za Kutonunua/ Kutosubiri Samsung Galaxy S5

    1. No QHD resolution QHD (not to be confused with qhd) ni resolution ya 1440 x 2560 . flagship phones za mwaka jana zote zimetoka na resolution ya 1080 (1920*1080). while hii ilikuwa a "huge" leap from 720 (1280*720), mi sikuona tofauti kubwa kati ya hizi simu. again hii ni my opinion, ila...
  11. leh

    GTA V is out!

    wapenzi wa GTA wafurahie kujua kuwa GTA V itakuwa madukani kuanzia kesho. nimepata fursa ya kuicheza na hata kama mie sio mpenzi wa GTA, nimekubali sana hii V. GTA V itakuwa out on PS3 na XBOX 360, ila kuna rumors itakuwa ported kwa PS4 na PC mwaka kesho. GTA V ndo imekuwa the most expensive...
  12. leh

    Safaricom Modem

    Juzi kati nimedondosha modem yangu kwa chai na despite my best efforts ikafa kabisa. so nimekuwa sipo hewani siku kadhaa. niliazima modem ya jirani juzi, na usiku huo ikani impress sana (6GB kuanzia 5am mpaka 8am downloads) na kesho yake speed ikawa chini kama kawaida. nilivyoulizia hapa town...
  13. leh

    Splinter Cell Blacklist

    Splinter Cell Konviction ndo ilikuwa game yangu ya kwanza kucheza kwenye Xbox kwa ndugu yangu mmoja hivi. game ilinivutia sana maana walikuwa wamebadilisha mfumo .waliocheza vitu kama Chaos Theory na Pandora Tommorow kwa PS2 watakwambia kuwa Sam Fisher alikuwa anatakiwa abaki kwenye shadows muda...
  14. leh

    Xbox anybody?

    wakuu nipo arusha na ningetaka kufahamiana na washikaji wenye Xbox 360 huku for support, trades and so on
  15. leh

    Mortal Kombat imerudi kwa PC

    wengi wetu ambao ni gamers kama NingaR na chief-mkwawa tumelelewa na games kama SF (street fighter), Tekken na Mortal Kombat. game developers haswa wa fighting games wamekuwa wanabana kuleta games kwa PC kwasababu ya high rates of piracy, ila Warner Bros. Interactive Entertainment wameamua...
  16. leh

    Natafuta PS2 Used

    natafuta ps2 ambayo ni used. PM kama unayo unauza
  17. leh

    Happy B.Day kwa C6

    leo ni birthday ya C6 na ningetaka kumtakia a blessed day and another wonderful year ahead as he grows older. C6 umekuwa rafiki yangu mkubwa tangu ni jiunge na JF na urafiki wetu umekuwa mkubwa hata nje ya JF. barikiwa mkuu...
  18. leh

    Facebook Home For Android

    https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/429141-facebook-home-for-android.html hii post juzi mkuu @C6, kaweka juzi kuongelea kuhusu Facebook Home. according to fb, hii app ilikuwa intended for a few high end devices ila thanx to a developer pale xda, kuna mod version yake for...
  19. leh

    Blackberry 9780

    kama kichwa kinavyosema, kuna BB 9780 for sale. 200k o.n.o whatsapp au sms 0753038174
  20. leh

    Man Utd, Webb na FA

    mwaka jana tulijionea wote red card ya vincent company baada ya sliding tackle kwa louis nani (the irony.. yeye ndo kala card this time round :smile-big: ) na penalty juu katika michuano ya FA 3rd round. while washabiki wa man utd. hawawezi kubali, mechi zao na other big teams in EPL huwa zina...
Back
Top Bottom