leh
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 829
- 376
Juzi kati nimedondosha modem yangu kwa chai na despite my best efforts ikafa kabisa. so nimekuwa sipo hewani siku kadhaa. niliazima modem ya jirani juzi, na usiku huo ikani impress sana (6GB kuanzia 5am mpaka 8am downloads) na kesho yake speed ikawa chini kama kawaida. nilivyoulizia hapa town, nimeambiwa ni 50,000 Tshs. swali langu ni kwamba, is it worth it? maana hiyo ni hela ya modem mbili kabisa.
P.S (@good guy na wengine wengi walionitafuta hapa JF nawaomba radhi nimekuwa sipo but I'll holla back)
P.S (@good guy na wengine wengi walionitafuta hapa JF nawaomba radhi nimekuwa sipo but I'll holla back)