leh
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 829
- 376
mwaka jana tulijionea wote red card ya vincent company baada ya sliding tackle kwa louis nani (the irony.. yeye ndo kala card this time round :smile-big: ) na penalty juu katika michuano ya FA 3rd round. while washabiki wa man utd. hawawezi kubali, mechi zao na other big teams in EPL huwa zina controversy na especially Webb akiwa involved (waulizeni liverpool). hivi basi, anayebisha kesho lazima red card au penalty ili Man Utd ashinde atangaze tu na dau.
regards, leh
P.S ni kweli kuwa hata Invisible anaangalia sports?
regards, leh
P.S ni kweli kuwa hata Invisible anaangalia sports?
Last edited by a moderator: