Happy B.Day kwa C6

Happy B.Day kwa C6

leh

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
829
Reaction score
376
leo ni birthday ya C6 na ningetaka kumtakia a blessed day and another wonderful year ahead as he grows older.


C6
umekuwa rafiki yangu mkubwa tangu ni jiunge na JF na urafiki wetu umekuwa mkubwa hata nje ya JF. barikiwa mkuu
:hug:
:hug:
​
 
images
 
Happy Birthday man! Miaka 60 uliyoishi ni mingi sana best.

Namuomba MUNGU akupe mara sita ya umri wako best.

Happy Birthday my friend.
 
Happy birthday ni yangu kesho tar 12...May all the best
 
Happy Birthday Shemeji yangu wa Ukwenhe C6.

Ila hujatuweka wazi mzazi ili kama vp tuwe tunaanza na shkamoo au mambo.

BTW Happy Birthday Mtalaka wa charminglady.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom