Wakuu chuo cha MUCCoBS [ Moshi University College of Cooperative and Bussiness Studies ] kinabadilika kuwa chuo Kikuu kamili ambacho kitaitwa MoCU[ Moshi Cooperative University] mabadiliko hayo yataanza Mara tuu baada ya kufungua chuo mwezi wa kumi
Wakaazi wa mikoa mikongwe ya Tabora na Kigoma naomba tujadili mikoa yetu hii miundo mbinu kama reli safi ya kati, lami mabasi kama adventure, Saratoga, adventure, NBS, sabena, mabrouk mitaa kama Cheyo, Ang'ambo, National, Uhazili, Rufita nk
Nimekaa Tabora miaka mitatu, Kigoma nimekaa kidogo...
Wana MMU nimeamua kuanzisha thread maalumu kwa ajili ya sisi vijana ambao hatujaoa/kuolewa ili tujadili changamoto za maisha ya ubachela na jinsi ya kukabiliana nazo ahsanteni.
Wakuu naomba tujadili kwa nini ndoa nyingi mara baada ya wanandoa kufunga ndoa kunakuwa na migogoro mingi sana ambayo hupelekea mpaka ndoa kuvunjika hivyo kupelekea kuwepo na chuki,uhasama n.k karibuni wana MMU.
Wakuu naomba tujadili kwa upana juu ya matatizo kwenye sekta ya elimu kwa ujumla yanasababishwa na nini? na nini kifanyike ili tuweze kuyatatua hayo matatizo ,karibuni
Wakuu nimefanya utafiti kwenye mambo ya UHASIBU nikagundua vyuo vya private ni wabovu sanaa, hii inathibitishwa na mitihani ya NBAA (CPA) vyuo vya serikali ndio vinafanya vizuri mfano, MUCCOBS, UDSM, TIA, IFM
Halafu ndio maana watu wanaosoma UHASIBU vyuo vya private wengi hawana ajira.
Wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya BINAFSI,,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A kubwa zimejaa sana ! ! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE wanapewa G.P.A kubwa sana je ni sababu za kibiashara
Habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika na kwenye majina yaliyobandikwa jana kwenye ubao wa matangazo (notice board) ya chuo inaonyesha kuwa wanafunzi wote wanaoenda field katika chuo cha MUCCoBS wamepewa pesa za field kasoro kozi ya sheria tu (LL,B) ,sijui tatizo ni ni ni...
Nimetoka kwenye kikao na waziri wa mikopo wa hapa MUCCoBS maswali tumemuuliza karibu yote kashindwa kuyajibu!! tatizo huyu waziri anaogopa kukubali kwamba kuna uzembe kwenye idara husika(Loan officer), uzembe huu ni kwenye kuchelewa kutuma majina ya waliopata supp na waliobadili course!! matokeo...
Taarifa niliyoipata toka kwenye chanzo cha kuaminika katika chuo cha MUCCoBS ni kwamba wanafunzi wote waliobadili programme/course ,walizopangiwa na TCU wote watakosa mkopo ! mfano kama ulichaguliwa first year course ya PROCUREMENT &SUPPLY ukabadili ukaenda ACCOUNTING&FINANCE ,basi utakosa...
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,
Wakuu nipo kwenye hiace ya naenda mikanjuni -tanga,nipo na wazee wa makamo wanasema eti baba akiwa mkali kwenye familia hata watoto wanakuwa waangalifu sana kwenye mambo yao yote hata ya kielimu mtoto anajitahidi kadri ya uwezo wake ili kuepuka kipigo kutoka kwa baba, vipi wakuu ni kweli? ,
Wakuu nina kakayangu mmoja ana miaka39 ,kasomea ARUSHA Msingi mpaka sekondari kipindi anasoma sekondari alisomeshwa kwa gharama kubwa sanaaa , advance(a-level)kasome dsm kamaliza form6 mwaka 1996, akaingia chuokikuu mwaka 1998 mwaka 2001 kamaliza degree yake ya kwanza , mnamo mwaka 2003 alipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.