Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
Wakuu naomba msaada wa kujua kati ya intellectual property law na human rights law ipi iko vizuri katika ajira,kujiajiri na mambo mengine
kwa kujiajiri intellectual property ni nzuri, ila kwa kuajiriwa ni human rights law. human rights law ni kwaajini ya kuajiriwa tu pamoja na kwamba unaweza kuwakilisha watu hata kwa private.Wakuu naomba msaada wa kujua kati ya intellectual property law na human rights law ipi iko vizuri katika ajira,kujiajiri na mambo mengine