Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
Wana MMU nimeamua kuanzisha thread maalumu kwa ajili ya sisi vijana ambao hatujaoa/kuolewa ili tujadili changamoto za maisha ya ubachela na jinsi ya kukabiliana nazo ahsanteni.
Mtadanganyana tuuu...!Wana MMU nimeamua kuanzisha thread maalumu kwa ajili ya sisi vijana ambao hatujaoa/kuolewa ili tujadili changamoto za maisha ya ubachela na jinsi ya kukabiliana nazo ahsanteni.
Mtadanganyana tuuu...!
Stori zenu zitakuwa kuhusu
-kwenda club
- kushindana kuopoa mademu bomba
-kuongopeana kuwa ndoa ni kitu kibaya mno
-kutongoza wake zetu
-kushindana mavazi na magari
- kuwa na matarajio makubwa kupita kiasi kwenye kila jambo
Niamini utaanza kufikiri vitu vya maana utakapoingia kwenye ndoa
Tufanyeje kundokana na hilo tatizo
Wana MMU nimeamua kuanzisha thread maalumu kwa ajili ya sisi vijana ambao hatujaoa/kuolewa ili tujadili changamoto za maisha ya ubachela na jinsi ya kukabiliana nazo ahsanteni.
mabinti wako humu jf lakini mbwembwe nyingi tu. Ila mi nimejipanga kuachana na ubachela kwa kupata mke kutoka jf. Ngoja single ladies waje hapa
Ma bachelor wa MMU wamekaa kimya, busy wanasaka hela.
Hawa 22 to 26 wanaitana vijiweni.
Mkuu Apo Kwenye 26 Weka 25 Maana Sitausika