Search results

  1. mtimkavu2

    Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Good point Sent from my VS835 using JamiiForums mobile app
  2. mtimkavu2

    Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Poor Lance is angry and bitter according to Mange. He thinks he has to side with KP. But it make sense. I would get bitter too if I have to pay child and spousal support once the divorce is finalized for someone who doesn't even think she should get a JOB....
  3. mtimkavu2

    Kilimo cha Tikiti maji

    https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=137285
  4. mtimkavu2

    Anasambaza UKIMWI kazini kwa makusudi, naweza kumsaidia vipi huyu dada?

    Uwiiiii kazi kweli kweli. Uzuri ni kwa mba wanasema ukitumia dawa si rahisi kuambukiza so hopeful dada wa watu atasalimika. Mimi I'm shocked ofisi yenu mnaletewa taarifa ya magonjwa ya wafanyakazi. Is that even legal. Sawa mnafanya audit Ila majina ya wafanyakazi si yabadilishwe zitumike...
  5. mtimkavu2

    Diaspora hawapendani

    Simtetei Mange ila haya maneno atakua aliandika akiwa emotional and angry..nothing make sense kwenye gazeti zima. Kwanza yeye household yake yote..herself and 3 kids are considered black only the husband ndo white. Pili mume na wakwe wanaishi Houston TX sasa it doesnt make sense kukandika...
  6. mtimkavu2

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Inawezekana usipate ukimwi lakini hakuna sababu ya kujaribisha ni bora ukatumia kinga mara zote. Kuna research nimeisoma sina uhakika nayo sana ila wanasema kuwa ukifanya tigo kupata maambukizi chansi yake ni 1 kati ya 71. Kama papuchi chansi ya kupata ni 1 kati ya 1250. Na wale wachumvini...
  7. mtimkavu2

    Dawa Za Antibiotics Na Kunywa Maziwa

    Kwa uzoefu wangu antibiotics nazopewa zinaandikwa no diary 2 hours before and after....kwahiyo saivi unaweza kunywaaa maziwa
  8. mtimkavu2

    Mange Kimambi awavaa January Makamba na Ridhiwani, Ajiunga rasmi 'Team Lowassa'

    Kaongea uongo mwingi sana. Nakubali bill inahitaji kuboreshwa. Macelebrity kila siku wanasue na kuwin against tabloids. Sidhani cnn au tmz wanaweza tuu kuandika so and so is a drug dealer without any proof. Most madea zina fact checks kibao.
  9. mtimkavu2

    Hausegirl katushika pabaya

    Hg usimpe pesa ndo utakuwa mchezo kila akiishiwa atarudi kutishia tafuta njia nyingine za kumalizana nae. Huyu shemeji yako kama atapenda mtoto na mumewe mbona inawezekana tuu...kuna utaalamu wa kuchukua mbegu directly kutoka kwenye pumbu za mumewe i think india wanaweza that if kama unataka...
  10. mtimkavu2

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Hizi hospitali zetu bure kabisa. Kabla ya kumshona mgonjwa ilitakiwa wahakikishe yuko stable. Vital signs zote ziko zawa hicho ndo kitu cha kwanza. Then ndo wamshone. So wangemwekea damu ya kutosha akiwa stable ndo ashonwe. Pia huko nyumbani alipoumia angefanya huduma ya kwanza kuzuia bleeding...
  11. mtimkavu2

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Yani aga khan hawana utaalamu wa kutibu mshipa uliokatwa na kioo..mbona inatisha hivyo hadi nimetetemeka...daaa yani ukiangalia video za iraq watu wanapigwa risasi na wanafanyiwa kwenye ambulace matibabu ya kila aina leo hii hospitali kubwa kama aga khan isiwe na utaalamu.!!!!
  12. mtimkavu2

    Kuna njia yoyote ya kusaidia kupata Mimba ya Watoto Mapacha?

    Njia ipo ila sio natural. Ukitaka guarantee ya mapacha nenda kwenye fertility clinic kama uko dar kuna clinic inaitwa dar ivf ukiuliza kuna watu wanajua ipo mtaa gani kea njia ya in vitro fertilization -- or IVF - watakupa dawa ili ovary zako zitengeneze mayai mengi mwezi huo halafu watayavuna...
  13. mtimkavu2

    Pamoja na yote, huyu ndio moyo wangu uliompenda

    Hatariii...ila hivi vitu viko addictive hapo mwanaume asipokupelekesha ukute huoni raha...pole aisee
  14. mtimkavu2

    Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

    Hii vita bora imeisha jioni hii..ilifikia pabaya. Chaggabarbie karusha mapicha ya Zari na wanaume tofauti naona anapewa na huyo Ivandon. Simwelewi huyo Ivandon why katoa hizi picha hadi picha yao ya engagement mweeee anyway zimeshatolewa saivi but i had screenshot.a.few......
  15. mtimkavu2

    Magari yote yangekuwa Manual transmition kusingekuwa na Foleni nchi nzima

    Mimi naendesha automatic kwenye ice na snow every winter for the last 15 years na inamudu vizuri tuuu hata wakiwa hawajasafisha automatic iko okay mbona
  16. mtimkavu2

    Magari yote yangekuwa Manual transmition kusingekuwa na Foleni nchi nzima

    Automatic zinahandle utelezi vizuri tuu..huko kwenye ice and snow si ndo kuna etelezi balaa na wengi wao wana magari automatic
  17. mtimkavu2

    Mke amfuma mumewe akijichua

    Labda mwanaume ana gonjwa la zinaa kaona asimuambukize mke kaamua abaki kwenye punyeto...huyo dada angeuliza sababu kwanza sio kupiga mayowe usiku
  18. mtimkavu2

    Should abortion be legal or illegal in Tanzania?

    Capt Nemo, Not sure what you are talking about. Capital punishment is legal in Tanzania. Just read that four individuals will face death penalty for their involvement with albino killing so I am sure they will face their death in a certified settings....
  19. mtimkavu2

    Ghorofa limenifanya nikosane na marafiki pamoja na wakwe zangu

    Hongera sana...mpaka hapo milioni ngapi zimetumika
Back
Top Bottom