Bahati mbaya zaidi wanaosema kuwa bill ni mbaya nao ni kati ya watu walio mstari wa mbele kutukana na kudharirisha wengine!
Kwenye hili bandiko nilitegemea kuona Mange angeonesha japo kwa kiasi kidogo uzuri wa huu muswada! Pamoja na huu muswada kuwa na mapungufu hasa lakini si mbaya kiasi hiki watu wanacho jaribu kuonesha!
Hata hao wazungu hakuna cha siri kwenye data kila kitu cha mtu yeyote wakikihitaji wanakipata...kwa hiyo swala la kusema tutanyimwa misaada kwa sababu ya huu muswada sidhani kama ni kweli!
Hakuna mwanaccm mwenye akili mbovu na muhuni kama Mange, naona anajipendekeza kwa familia ya jk wakati hata hawamjui, SHERIA IMESHASAINIWA na atakaetukana mitandaoni Jela inamuhusu,
janu atutolee uchafu wake wa cybercrime.halafu anataka kuwa raisi.shameeeeeee
Haaahaa mange sometimes she acts too smart! Anataka kutetea matusi katika justification ya freedom of speech! Amechambua vizuri but in too narrow views, nilitegemea angeomba sheria iboreshwe ili iwe halisi na applicable! Anawalaumu wakina January kwa kuvutia kamba upande wake lakini anasahau kwamba hata yeye anatetea ili kiblog chake kisijefungwa, wamezidi kutukana watu kwa mwavuli wa freedom of speech! Cc Ruttashobolwa.
Namuunga mkono mange...bigup sana sana.
Tatizo la nchi hii ni utekelezaji!tuna sheria nyingi ajabu na nyingi hazifuatwi.sasa hii itakuja na muujiza gani?
janu atutolee uchafu wake wa cybercrime.halafu anataka kuwa raisi.shameeeeeee
mkuu tunahitaji miswada ya kuwafunga na kuwatimua ubunge mafisadi waliochota hela za escrow wanathari kubwa zaidi kwa jamii kuliko MTU wa cybercrimeMkuu ulisikiliza mjadala wa huu muswada bungeni?umepata wasaha wakuusoma hata kidogo? Unafikiri muswada hauna jema kabisa?
Unaweza kuwa sahihi na unachisema khs mange coz m sipo upande wa waropokaj hofu yang pia ni kujua nn viongoz we2 wanaweza kuwa wamekificha nyuma ya hii bill, dont 4get how smart our leaders are esp wen it comes to their priorities, yan km duru muhim kwenye katba xmefutwa il tu walinde maslah yao????? Wanashindwa vp kutugeuzia kbao kwny hii bill pind tutakapojiridhisha nayo na ikapitishwa????? Kwang mm tatzo sio cybercrime bill, bal tatzo lang ni hao wanaoipigia debe coz frankly speaking siwaamin km wana mapenz mema na hii ki2 km wanaoonekana machoni!!! Just thinking loud.