mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,731
Lara1 kasema kweli maybe kwa kuongezea tu jitahid kwenda kufuta backup ya text zenu kwenye mitandao ya Simu then ndo u deal vizuri na house girl huyo,yaani issue ni kupoteza huo ushahidi
Hahahahaaaaaaaaaa! Housgel kama huyo dawa yake ndogo sanaaa! Lakini wewe siku ukishikwa si utaliwa Kiboga wewe japo mwenye nguvu hana lazima akukodie watu.
Dawa ya beki tatu, we mtokee hakikisha una mbato, na kuna ushahidi wa kutosha wa picha na sms zinazoashiria mahusiano baina yenu. HATA ASEME WAPI, KWA NANI, ATUMIE AMPLIFAYA GANI HAKUNA ATAKAPO AMINIKA AS LONG AS UNA USHAHIDI UMEWAHI KUMPITIA. ITAONEKANA NI WIVU WAKE WA KIMAPENZI ANATUNGA TUNGA TU VITU, NA KUMCHAFUA MKE WA MTU. Ukimmbato credibility yake inaenda negative kabisaaaa.
Ukilogwa umpe hio pesa utatengeneza ushahidi afu kila siku atakuwa anataka hela zaidi. Mpaka sahivi bado kuna reasonable doubt ya kutosha tu. Fanya kama nilivokwambia. Kwanza utafaidi, maana watamu kweli wale kuku wa kienjeji, pili uatatua tatizo lako.
AMA KWELI SHETANI HATOKI MBALI UNAISHI NAE NA KUSHIRIKIANA NAE KILA KITU, AT TIMES NDO MSIRI WAKO!
Na akimtokea akamnyima itajuwaje? Hujatoa plan B. Big up anyway Sister!
Ukijitahidi kidogo utaweza kubeba mikoba ya Irene Mwamfupe Ndauka.. kaza
Martins Paul, anaomba ushauri; Je atoe hiyo 1M kwa h/girl au?