- Thread starter
- #601
Na hasa ikiwa AKAUNTI ZAO na za JAMAA ZAO ni ZAIDI ya Mishahara yao TANGU WALIPOANZA KAZI. Nakuunga mkono.Namshauri Rais kwenye mambo kama haya wala asisumbue Polisi na Mahakama . Hawa TMAA wote wanatakiwa kufilisiwa na kufukuzwa kazi mara moja.