Kuna njia yoyote ya kusaidia kupata Mimba ya Watoto Mapacha?

Sidhani kama ina style kupata mapacha, mimi nnao mapacha, Na hata Sasaivi Nna Mimba pacha pia, Sikumbuki kua Na style sijui hivi au vile ila nakumbuka bao lake hii mimba ilikua kamaa Saa 10 alfajiri,ni pm kama kuna zaidi manake naona Aibu wewe mwanamke mwenzangu ntakwambia 🙈... Lakini nililisikia bao Mpaka Kwenye nyao Za miguu ...
 
sema hadi kwny utumbo, sio miguu. Pia najaribu kupiga picha makelele uliyokuwa umamdanganyishia jamaa ili asubuh afungue pochi lol!
 
Lol, Mkuu umesha wahi kufanya mapenzi Na unae mpenda? Na anae kufikisha yani hata hufikiriii pesa wala Gari ni Raha mwanzo mwisho unafanya Vitu ambavyo ukikumbuka unajiulizaa ivi yule Ndio mie🙈...
 
Hivyo folic acid inamsaidia kuimarisha mwili na mifupa ya mtoto na pia inapunguza uwezekano wa mama kuzaa mtoto mwenye kichwa kikubwa pamoja na mgongo wazi ila suala la mapacha hapo sifahamu
 
Njia ipo ila sio natural. Ukitaka guarantee ya mapacha nenda kwenye fertility clinic kama uko dar kuna clinic inaitwa dar ivf ukiuliza kuna watu wanajua ipo mtaa gani kea njia ya in vitro fertilization -- or IVF - watakupa dawa ili ovary zako zitengeneze mayai mengi mwezi huo halafu watayavuna hayo mayai wataenda lab wayaunganishe na mbegu za mwanaume ili embryo itokee baada ya siku 3 hadi 5 watarudisha embryo hiyo kwenye ukuta wako wa uzazi..ukitaka mapacha watarudisha 2 ukitaka zaidi ya pacha 2 watarudisha 3 ila sijui sheria ya tanzania najua ya nchi nyingine kuna limit za embryo ngapi unaweza kuwekewa...hii process ina gharama zake. Good luck watafute ujue kama itakufaa kwenye your quest kupata mapacha
 
Thank you!!!
 
Lol, Mkuu umesha wahi kufanya mapenzi Na unae mpenda? Na anae kufikisha yani hata hufikiriii pesa wala Gari ni Raha mwanzo mwisho unafanya Vitu ambavyo ukikumbuka unajiulizaa ivi yule Ndio mie🙈...

Nataka kufanya na wewe ili nihakikishe unachokisema!! Kufikishwa/kukunwa sio shida
 
Mungu aninusuru na balaa hilo, nampenda sanaaa mume Wangu na daima namuomba mwenyezi mungu aniweke ainizike au nimzike..

Sio balaa, ni raha. in fact akiishiwa visenti vyake hakuoni tena, unahmia kwa mwingine, sisemi mm...ni nature. naona hujawahi pewa mechi ya roho kuchomoka kwa raha ndio maana unamuona mme wako ndio funga kazi...nipe mwanya nijithibitishe.
 
Unanichekesha, humfiki hata robo michezo Yake, yanii Kwa huyu usipimee....
 
Jaman mke wngu ni zaida ya miaka mitano tunatafuta #mtoto lakn wapi! Nimeenda hospital mblmbl kama Agha khan, Aman, General dodoma na Upendo zote za dodoma lakn sion matunda yke, imêfikia kpindi mpka nilianza kwnda kwa waganga wa miti shamba lakn huko nako hakujanisaidia, naomben ushaur au tiba ikiwezekana; nitashukuru sana endapo nitasaidiwa kwa hili
 
Muone Dk Mwaka yupo dar,tatizo hilo ndio itakua mwisho wake!!Sina namba zake za cm bt unaweza ulizia Dk Mwaka ukselekezwa alipo na ukaenda kupata tiba,au jaribu kumgoogle utapata mawasiliano yake
 
Back
Top Bottom