Search results

  1. Mavurunza

    Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

    Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec. Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao. Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+...
  2. Mavurunza

    Idea Debater wafungasha virago

    Platform inayojihusisha na uwekezaji wa weka pesa uvune pesa kila siku wameamua kufungasha virago kiaina huku wakiacha maelfu ya Watanzania kwenye kilio kikuu. Katika post yao walioipost kwenye mtandao wao wa Telegram wamesema kwamba wamesitisha huduma kutokana na uchunguzi unaoendelea kutoka...
  3. Mavurunza

    Coin ya Tera Luna yapanda thamani mara elflu ndani ya siku moja

    Coin ya Tera Luna imepanda thamani kwa zaidi ya mara elfu moja ndani ya saa 24 baada ya kuporomoka kwa speed. Hii ni sawa na kusema kama jana ulinunua coin hiyo ilipokuwa bei ya chini kabisa kwa shilingi 10,000 leo hii ukiiza unapata zaidi ya shilingi milioni 10.
  4. Mavurunza

    Wallet ya Remitano watoa zawadi ya $5 kwa Watanzania wanao support biashara yao

    Kila mara Remitano imekuwa ikithamini na kushukuru watumiaji wake waaminifu na wanao support bidhaa na huduma zao, hasa wale wanaopendekeza bidhaa na huduma zao kwa marafiki. Kwa kutambua hilo Remitano wamekuja na zawadi kwa Watanzania kwa kila mtumiaji mpya utakayemualika na akakamilisha...
  5. Mavurunza

    Gucci waanza kupokea cryptocurrency kwenye maduka yao

    Kampuni ya Gucci inayotengeneza mavazi ya kifahari inatarajia kuanza kupokea malipo kwa cryptocurrency kwa baadhi ya maduka yao huko Marekani. Habari kamili... ===== Italian luxury brand Gucci will start accepting payments in cryptocurrencies in some of its stores in America. Customers will...
  6. Mavurunza

    Kampuni inayomiliki Facebook & WhatsApp, META kuanzisha duka lake

    Kampuni ya META inayomiliki whatsapp, facebook pamoja na Instagram, inatarajiwa kuanzisha duka lake la kwanza kabisa ambapo watauza bidhaa zao halisi mbali mbali. Bidhaa kama quest 2, meta portal, headphones, miwani ya Ray Ban nk. Wateja wataweza kuchukua bidhaa, kuigusa na hata kuijaribu kwa...
  7. Mavurunza

    Naomba kujuzwa hospitali inayotoa chanjo ya Typhoid Dar es salaam

    Habari wakuu! Naomba kujuzwa hospitali inayotoa chanjo kwa ajili ya typhoid kwa Dar es Salaam.
  8. Mavurunza

    Mh. Zitto akiwa na Mh. Makinda Sri Lanka.

    Mh. Zitto akiwa na Mh. Makinda Sri Lanka.
  9. Mavurunza

    Magari haya yanahitajika haraka.

    Zinahitajika Suzuki Swift from 2003, Suzuki Escudo frm 1995 na RaV4 from 1998 mileage zisizidi 100k, ziwe 5 door, ziwe kwenye hali nzuri sana. Tuma picha ya gari pamoja na offer yako kwenye hopemjema@yahoo.com nitaweza kuyakagua magari yalioko Dar na Arusha. Kwa maswali zaidi waweza kutuma PM.
Back
Top Bottom