Search results

  1. MLUGURU

    Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania?

    misimu inatofautiana mkuu,na wao tabora na singida yakianza mafuriko yao huko daresaalam mnapambana na joto lenu.
  2. MLUGURU

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    na akifanikiwa kuingia hata dakika 5 hamalizi atashuka chini maana ataona mazingira siyo rafiki kwake 😂😂😂😂
  3. MLUGURU

    DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

    kafala la mlinzi limekataliwa,kafala limeondoka na damu ya mshua.
  4. MLUGURU

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    unaongelea club au kitambaa cheupe,kama kitamabaa cheupe sawa ila kama club hao vijana wako hawawezi kusimamia show pale 1245 bado uhitaji wa wazee ni mkubwa sana.
  5. MLUGURU

    Naomba kujua baadhi ya vitu kuhusu wilaya ya Korogwe Tanga

    mkuu hapo korogwe kwa sasa matajiri wameamia hapo kuchimbua ardhi hekari kwa mahekari kupanda mkonge,mkonge unataka kuzika hela so kwa mtaji wako huo pale patakufaa kwa biashara za kuchuuza maana korogwe inalisha vijiji vingi sana vya korogwe vijijini. watoto wakali wa kisambaa weupee pee hata...
  6. MLUGURU

    Nipe ratiba ya mstaafu aliyekaribu nawe

    wataalamu wa mambo wanasema wewe mtumishi lile ambalo unalifanyaga kipindi ukichukua likizo ndio hilo utakuwa unalifanya wakati umestaafu. kwa jinsi nilivyomuelewa ni kuwa kama lipindi cha likizo ulikuwa unaenda kutumia muda wako shamba basi hata ukistaafu nguvu na akili zako utazielekeza huko...
  7. MLUGURU

    Biashara na ufugaji wa Kasuku

    nilienda nyumba 1 ya kishua huko nkakuta banda la chuma kubwa lipo sebleni najiuliza hapa ni nini naona mzee kasuku huyo anashuka toka ghorofani kurejea kwenye banda lake....ila wana kelele hao na kusumbua wageni mi alikuwa anakuja anadonoa nguo yangu.
  8. MLUGURU

    Makampuni ya Mawasiliano yaboreshe vifurushi viwe rafiki kwa ajili ya viziwi

    kulamka,napita hapo naelekea ngerengere kupitia mvuha
  9. MLUGURU

    Makampuni ya Mawasiliano yaboreshe vifurushi viwe rafiki kwa ajili ya viziwi

    TCRA pamoja na haya makampuni ya simu ya Tanzania (Tigo, Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel,ttcl), miongoni mwa wateja wenu kuna hawa wenye mahitaji maalumu ambao ni viziwi kiasili. KIZIWI maana yake ni mtu ambae hawezi kuwasiliana kwa namna yoyote ile kwa njia ya sauti zaidi ya video call na sms...
  10. MLUGURU

    Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

    huyu kaka mkubwa nilianza kumuangalia kwa jicho pevu alivyowadindia kina gsm kule mikocheni na kumpa shit nyingi sana injinia while hayupo madarakani....kifupi ni jeshi la mtu mmoja alafu seems wazee wanamzingatia sana huyu braza tofauti na sisi mayanki tunavyomuona. let saga continue.
  11. MLUGURU

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    nilitumia copy zake zile za 35000 aisee kuna siku manzi alinipigia kuwa bado kwake anasikia harufu ya marashi yangu.hapo wiki imepita tangu niende kwake.
  12. MLUGURU

    Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    mzee kapambana mpaka kafanikiwa kubadilisha image yake kwa jamii. akili mingi sana.
  13. MLUGURU

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    confidence ya kocha kama huyu ndio inanifanya niamini Yanga tunabeba hili kombe.
  14. MLUGURU

    Kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa vyuo vya VETA nchini, Kamati ya Bunge ya PAC yaishauri serikalini iajiri walimu toka India na China

    Mkuu tema mate chini bunge la sasa hivi kuna degree na phd's za hatari hatari....kifupi hakuna bunge lililojaa wasomi kama bunge la sasa hivi. sema ndio hivyo elimu na siasa haviendani kamwe.
  15. MLUGURU

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    tuambie na wewe ulivaaje au ulivaa nini,na sisi tutajua ulivaa nguo au matambala mchina tu ya kariakoo.
  16. MLUGURU

    Wapi naweza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe? Bei iwe ya jumla ya shambani

    Inaruhusiwa tu kama bidhaa zingine,sema inabidi uwe punctual sana maana viazi lile zao delicate sana vikiingia maji tu shughuli yake imeishia hapo na ninavyojua mambo ya mipakani gari kukaa wiki kusubilia vibali. Lifanyie utafiti wa kutosha ni wazo zuri.
  17. MLUGURU

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Hii inchi kuna watu wahuni...ukienda makumbusho kuna watu wamejengs kwenye barabara za mtaa sembuse kwenye kiwanja cha mtu.
Back
Top Bottom