Search results

  1. Gele vaheke

    Nokia 5230

    Mwenye hiYO simu na hitaji ofa yangu 80000
  2. Gele vaheke

    Lap top used

    Nahitaji lap top used ila nataka iwe nzuri nahitaji kujua duka gani lina uza lap top used kwa bei ya chini 400000 msaada wenu
  3. Gele vaheke

    Lap top lap top used

    Ni kweli katika miangaiko yangu nimeona nipate lap top used nianzie hapo iwe na 1gb ram nakazalika weka spec salio ni laki 300000
  4. Gele vaheke

    Desk top need in dar

    Jameni mwenye hiyo desk top aweke spesification zake ninayo 200000
  5. Gele vaheke

    Simu Huawei sonic ina hitajika

    Mwenye nayo ani pm
  6. Gele vaheke

    Portable dvd prayer needed

    Habarini wana kijiji Kwa anae jua wanapo uza hizi dvd prayer anijuze iwe used au mpya na bei na nchi
  7. Gele vaheke

    3g phone needed fasta

    Jamani mwenye simu ya 3g touch screen nina hitaji ofa ninayo 150000
  8. Gele vaheke

    Atimaye geti la mali asili idete kilombero lang'olewa!!!.

    Hili ni geti ambalo lilikuwa lina pingwa vikali na wananchi wa wilaya ya kilombero hususani wakazi wa ifakara Mpaka kidatu kutokana na kutozwa ushuru wa mazao yao ya chakula ndani ya wilaya leo nimepita sijalikuta geti na kibanda walicho kuwa wanachukulia fedha za wakulia kime vunjwa kama kwa...
  9. Gele vaheke

    Simu ina itaji

    Ninahitaji simu mwenye nayo kwa 200000 ofa kwa watu wa dar
  10. Gele vaheke

    150000 mobile needed

    Jamani na pesa yangu ya chumvi mwenye nayo simu ofa ni kwa watu watu wa dar na kilombero
  11. Gele vaheke

    Nokia c6, 5800 au 3g nokia

    Jamani kiukweli ni kwamba sina uwezo wa kuingia dukani na kuulizia hizi simu naomba mwenye nayo bei ninayo laki mbili ,iwe ina uwezo wa 3g au touch screen iliyo tumika ila isiwe mbovu hii kwa watu wa dar tu
  12. Gele vaheke

    Nokia 7610 for sale

    Na uza nokia 7610 2g network 50000 tu
  13. Gele vaheke

    3g ideos needed

    Na hitaji simu za ideos 3g ninayo laki na ishilini no 0785 100 151
Back
Top Bottom