150000 mobile needed

150000 mobile needed

Gele vaheke

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
138
Reaction score
6
Jamani na pesa yangu ya chumvi mwenye nayo simu ofa ni kwa watu watu wa dar na kilombero
 
Jamani na pesa yangu ya chumvi mwenye nayo simu ofa ni kwa watu watu wa dar na kilombero

Njoo nikupe samsung gt-s5233a ya ukweli mkuu, haina dosari yoyote ile full unlocked. chaji siku tatu hadi nne. nitafute 0714-408238 / 0759-401230.
 
Una weza ukaituma hiyo simu ifakara ili niichukulie ifakara mimi nipo mlimba 0785100151
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom