3g phone needed fasta

3g phone needed fasta

Gele vaheke

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
138
Reaction score
6
Jamani mwenye simu ya 3g touch screen nina hitaji ofa ninayo 150000
 
ya aina gani? ... zipo za aina nyingi, be specific
 
Hiyo hela ndogo sana! labda za kichina.
 
kumbe umezungumzia simu tu na sio specific brand..ungekuwa specific ungefanikiwa zaidi.
 
Na jua wengi mnazo za bei juu sio mbaya mkanitoa mwana jf mwenzenu
 
Hata kama unayo aideos za tigo ni pm tuwasiliane ofa kwa dar tu
 
Back
Top Bottom