Lap top used

Lap top used

Gele vaheke

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
138
Reaction score
6
Nahitaji lap top used ila nataka iwe nzuri nahitaji kujua duka gani lina uza lap top used kwa bei ya chini 400000 msaada wenu
 
nitafute kwa namba 0713532322 nikupeleke kkoo kuna sehemu wanauza sharti nikupeleke...ila bei utaelewana nao we mwenyewe wanauza laki 3 na 90 ila wanaweza kupunguza kulingana na maelewano yenu lap top zenyewe ni dell, ram ni 2 gb dual core, hard disk ni 80/100 na processor ni 2 Ghz
 
mdogo wangu aliibiwa juzi k/koo kwa style hiyohiyo ya kipelekwa...wakamtia msimbazi kwenye on construction building msimbazi akakabwa
 
Back
Top Bottom