Simu Huawei sonic ina hitajika

Simu Huawei sonic ina hitajika

Nenda maduka ya Tigo hata pale Mlimani city zipo
 
Lengo nipate used au mpya kwa bei ya kawaida ninayo 150000 tu
 
Ninayo tafuta ni huawei ideos 8650 kido afadhali kwa chaji
 
da kwa hiyo hela inabidi usubiri kidogo miezi ipite kwani hilo toleo ndio limeingia sokoni na kwa hiyo hela uliyonayo,kwa sasa mtu apunguze 45,000 sio rahisi,jipigepige uongeze hiyo 45000 ukanunue mpya
 
asante kwa ushauli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom