Nokia 5230 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia 5230

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Gele vaheke, Sep 28, 2012.

 1. Gele vaheke

  Gele vaheke Senior Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye hiYO simu na hitaji ofa yangu 80000
   
 2. Gele vaheke

  Gele vaheke Senior Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia nokia 5800
   
 3. Drama.abk

  Drama.abk Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Oya mi ninayo NOKIA 5800. Nimeitumia for 19 Months. Functionality yake iko poa, haijawahi kunisumbua wala kupelekwa kwa fundi. Its one of the strongest phone I have ever used. Inahitaji tu new housing cause housing yake imechoka na Battery mpya kwa sababu sijawahi kuinunulia battery mpya. Kama uko poa niPM:yo: . Warranty itatolewa when you need it
   
 4. Gele vaheke

  Gele vaheke Senior Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 5. Drama.abk

  Drama.abk Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nakaa mbezi beach.. poa ntaiweka picha yake halisi ili uweze amua kama uko intersted or not? Siunajua tena simu za mkononi zilivyo.. Sitaki kukuuzia kitu ambacho hautaridhika nacho so ntaweka picha soon. Nikitoka kwenye mishe zangu apa town
   
 6. Drama.abk

  Drama.abk Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Oya kaka mishe zilikuwa nyingi so nkashindwa kukutumia zile picha. Nipo nahangaika na registration za chuo apa town. Upo dar?
   
Loading...