3g ideos needed

3g ideos needed

Gele vaheke

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
138
Reaction score
6
Na hitaji simu za ideos 3g ninayo laki na ishilini no 0785 100 151
 
ninayo mpya ktk box but inatumia laini za tigo tu...
 
ninayo android ideos Chagall. Lynn zote... 0759950757 text me.
 
Jamani Nina iPhone 3GS nimeamua kuiuza bei ni laki nne kamili. Mwenye kuhitaji 0654408562. Simu ipo kwenye Hali nzuri. Thanks
 
kaka hiyo mbona ndo bei yake we nenda kaulize zile za tigo ni 195000 na inatumia line moja tu
 
Ni kweli jamani tuwe tuna peana haya matatizo maana nilivyo ambiwa ina bidi niwe na tembea na chaja
 
Back
Top Bottom