Gele vaheke Senior Member Mar 22, 2012 138 6 May 24, 2012 #1 Ninahitaji simu mwenye nayo kwa 200000 ofa kwa watu wa dar
M marty JF-Expert Member Aug 4, 2011 770 27 May 24, 2012 #2 blackberry curce 8520 nicheki kama utaijai kwa 200000 tsh
Criss Alex Senior Member Apr 18, 2012 111 10 May 25, 2012 #3 Nokia 2680 kwa 100000 nicheki +255719665022.
Gele vaheke Senior Member Mar 22, 2012 138 6 May 27, 2012 Thread starter #4 Naendelea kukalibisha wana jf
vanmedy JF-Expert Member Oct 12, 2011 2,698 1,395 May 27, 2012 #5 170kl google ideos 8150...sio zile za tigo...with screen protector..1gb mmc..usb charger. kitu safi kama uchi wa mtoto mchanga
170kl google ideos 8150...sio zile za tigo...with screen protector..1gb mmc..usb charger. kitu safi kama uchi wa mtoto mchanga
N Nyuki baby Member Feb 24, 2012 85 8 May 27, 2012 #6 Gele vaheke said: Ninahitaji simu mwenye nayo kwa 200000 ofa kwa watu wa dar Click to expand... sasa jembe una mkwanja wa kutosha kiivyo alafu unatafuta vimeo vya mkononi! We wa wapi? Nenda shop ukachukue ki2 cha usher 200 alafu utokelezee!
Gele vaheke said: Ninahitaji simu mwenye nayo kwa 200000 ofa kwa watu wa dar Click to expand... sasa jembe una mkwanja wa kutosha kiivyo alafu unatafuta vimeo vya mkononi! We wa wapi? Nenda shop ukachukue ki2 cha usher 200 alafu utokelezee!
Amoeba JF-Expert Member Aug 20, 2009 3,289 781 May 27, 2012 #7 Vanmedy, hiyo kauli yako ni udhalilishaji wa watoto bana! we fanya biashara tu, matusi kwa watoto siyo haki bana!
Vanmedy, hiyo kauli yako ni udhalilishaji wa watoto bana! we fanya biashara tu, matusi kwa watoto siyo haki bana!