Search results

  1. The email

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Njoo umaliezie story mzee baba
  2. The email

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ukishazoea unasahau suruba zote,we hujui mtembea juani akipata pumziko kidogo kivulini husahau adha zote za jua. Baada ya miezi tu unasahau kama ni wewe ulie kuwa unashinda kutwa nzima kwenye uzi wa ajira Tumeumbiwa kusahau
  3. The email

    Kwa sasa mambo yote ya ovyo yamerudi nchini ni huzuni kwakweli

    Watakuuliza kama umekula[emoji1][emoji1]
  4. The email

    Mhandisi mwalimu anaomba msaada.

    Pole sana mkuu
  5. The email

    Mtandao wa airtel utufidie hasara wateja wake

    Ni kweli kabisa ,leo ni hovyo[emoji57][emoji57]
  6. The email

    Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

    Tunaishi na viumbe wengi sana wa ajabu ajabu,sema wakijidhihilisha ndo huwa tunaona kisanga,ila kikawaida sisi na wao tunamipaka na ndio mana ni nadra sana kuwaona kwa macho yetu ila wao kwa asilimia kubwa huwa wanatuona tu tunavyofanya vioja vyetu hapa duniani.
  7. The email

    Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

    Mi hata azam sioni cha kuangalia,napenda movies sasa hamna la maana kule ,mbc ,kix sijui na nn ile aaaha zote hakuna la maaana[emoji1][emoji1]
  8. The email

    Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

    Vitu vya ajabu vipo sana ,nakumbuka kipindi nipo kidato cha tatu mwaka 2005 shule x maeneo ya shiyanga. Baada ya kutoka kwenye kipindi kile cha usiku mida kama ya saa nne kasoro hivi ,kwenye mabweni kuna uwanja wa mpira wa kikapu na baada ya uwanja unavuka barabara kuna kipori fulani Sasa...
  9. The email

    Ila maisha

    Kuna wakati uhitaji wako inaweza isiwe kitu chochote cha thamani sana bali hata chakula tu ukipata unaweza kushukuru sana. Niliwahi enda msibani nikala chakula kizuri nikapata na chupa moja ya maji nikaondoka, nilishukuru sana mana mlo wangu nilikuwa sijui nitaupata wapi.
  10. The email

    Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

    Hiyo pombe lazima ushushe mzigo bila ridhaa yako ndo utamu wake.HAIFAI KABISA
  11. The email

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Kuna uzi kwa kijeshi kwa vijana walio pita jeshini ,kwa miaka ya 1970s-1990s ni wa moto sana ,utafute hutajuta simulizi zilizomo
  12. The email

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Ngoma coy aka nengu nengu,wanakuwaga walaini sana watoto wa michezo coy. Kuna jamaa angu alikimbilia nengu nengu baada ya mziki wa kombania kuwa mgumu. Jeshini kitengo mura,ukiwa na kitengo shuruba zinakuwa chache,kama ukipata nafasi ya kujichanganya kwenye kitengo nenda,iwe ujenzi ,iwe...
  13. The email

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    [emoji2][emoji2][emoji2]
  14. The email

    Wanawake mnaovaa strap on acheni kutuharibia wake zetu

    Hiyo nayo ni laana tu,haiwezekani usoni mwanamke,umbo la mwanamke,matiti anayo halafu akakosa uchi akapewa dubwasha[emoji849][emoji849][emoji849]
  15. The email

    Wahalifu siyo wa kucheka nao, hiki ndicho walichofanya El Salvador

    Kuna nchi kiongozi ukileta fyoko fyoko wanaanza na wewe,wakikushindwa wanahamia kwenye familia yako wanawapoteza wapendwa wako hadi utaomba poo.
  16. The email

    Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

    Ngoja nicheke kwanza[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
  17. The email

    Series (Special thread)

    Wazee kwema,hivi hizi apk mfano ya star times na azam tv ukiinstall kwenye android tv zinaweza kufanya kazi kweli??
Back
Top Bottom