Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Tuendeleee........

Watu wengi wanasema hii ni chai lakini niwahakikishie hii ni true na natamani sana niwawekee evidence lakini naona ntazingua maana katika katika huu Uzi kuna uhusika wa watu wakubwa na niwatumishi wa umma kama DAKTARI so ntajitupia mzinga wa nyuki mwenyewe.

Tuendeleee wakuu....

Maisha yalikuwa mazuri tu tulikuwa tunaendelea vzr na masomo tulikuwa tunapiga sana class kwahyo watu walikuwa wanatufata fata sana kusoma nasisi tulikuwa tunagonga sana na Mercy wangu kama chemistry yani tulikuwa tunaulizana maswali tukiwa magetoni tunapika au tumepumzika na tunajibiana vizuri kabisa nilikuwa mtu wa furaha kwasababu nilikutana na mtu ambaye alikuwa kama mimi tu kichwani maana kama angekuwa hana akili basi nisingefurahi kwani so vizuri mimi kufaulu pekeangu haf yeye afeli ingeonekana mahusiano yetu ndo chanzo cha yeye kuwa anafanya vibaya.

Nakumbuka kuna test moja ya psychology tuligongana sote tulipata 18/20 na tulikuwa wa kwanza darasan.
Hakika tulikuwa watu wa watu maana ilikuwa tulipokuwa tunasomea basi utakuta jopo la watu wanahitaji tusome pamoja.

Mwaka huo huo wa2 mwshon kabla ya semester ya pili kuisha kuna jambo lilitokea ambalo ndo chanzo cha mahusiano yetu kwenda kombo.

Home baba na mama hawakuwa na maelewano mazuri toka nilipokiwa olevel sasa nikapata habari Maza alinipigia cm akanambia kwamba ameamua kurudi kwao kwa muda kwamba Babu yangu anaumwa kwahiyo kaenda kumuuguza akikaa sawa atarudi nyumbani. Kumbe mama alinificha alipanga kuondoka mazima kwa kuchoshwa na vitimbwi vya mshua.

Lile jambo la mama kurud kwao kilileta mabadiriko hasa upande wa mahitaji yangu ya kifedha. Nilikuwa nalipiwa ada na boom nlkuwa napewa lakini pia pesa ya field kwahyo walikuwa wananipa sapot ya books and stationery kwasabb nilikuwa sipew na serikali. Kila mwez walikuwa wananiwekea 150k kwahiyo ukichanganya na ka boom nikawa najikuta ninapesa za kutosha tu.

Mama aliposepa kwao nikaanza kupigiwa dana Dana nikimpgia Baba anipe hela anambia nimchek mama na mama anasema nimchek Baba mwsho wa siku nikaanza kuona kama wananizngua tu nlikabid nibadrshe bajet zangu katika matumizi. Ile ishu skutaka kumwambia Mercy nliamua kupambana kimya kimya.

Sasa ikawa kwenye hesabu za kila mwez za matumiz ya mageton mm na Mercy nikawa nakomaa sana kuhakikisha Mercy hanotice kwamba msela nimeanza kufulia mda mwingine nikawa nashindwa kabisa kuprovide lakini namwambia atoe pesa yote then nitamtefund, Mercy alikuwa muelewa sana. Sasa mambo yalivonifika shingoni ikabidi nimwambie ukweli kumbuka boom la 500k kwa miez mi2 sio kitu matumizi ni mengi sana hasa kama unampenz.

Nlipomwambia alinielewa na akanitia moyo kwamba mambo yatakuwa poa na yeye pia atavumilia. Sikuridhika japo Mercy aliosha kukubaliana na hali ikabidi nibuni biashara ya kufanya ili nipate pesa ya kulia bata na Mercy wangu.

Nilikuja na idea ya kuuza hawa dagaa wa mwanza wa mafuta wanakuwa packed katika vifungashio vya nylon vyeupe. Kulikuwa na package ya jero na buku mimi nilikuwa nachukuwa wa miatatu kwa miasita kwahyo nilikuwa napata faida ya miambili kwenye jero na mia4 kwenye buku.

Mwanzo biashara ilikuwa ngum kwasbb nlkuwa naona aibu kupita mageton kwa wasela na madem et nauza dagaa. Lakini Mercy ndomana nasema sitamsahau huyu kiumbe, Mercy alinipa sapot robo ya mtaji alinipa na pia alikuwa ananitia sana moyo na sometimes tulikuwa tunazunguka naye magetoni. Ratiba ya kusambaza dagaa ilikuwa hasa weekends na kama ni siku za week bas jioni au mchana kama kulikuwa hakuna vipindi.

Pale ambapo Mercy alikuwa anakaa kulikuwa na wanachuo kadhaa basi mpenz wangu akanambia nimpe pieces kadhaa za dagaa awe anawatembezea wale majirani zake. Biashara ilianza kuchanganya tukawa tunapiga pesa unakuta kwa wiki nilikuwa nauza Zaid ya pieces 200 sasa ukipiga faida yake ilikuwa Ina range kwenye 70-100k kwa wiki Moja.

Kule kuwa vizuri class kulinisaidia kwasabb nilikuwa close na wasela na pisi nyingi sana kwahyo hao ndo walikuwa wateja wangu wazuri. Nikaanza kuwa don bhna, nilianza kupata pesa hata zaidi ya Ile nilokuwa napewa na wazaz. Maisha yakawa mazuri zaid na furaha ya moyo ikanirudia maana nilikuwa sina mawazo kuhusu pesa na baadae wateja wakawa wanafata wenyewe mageton kwahyo zile routes za baiki magetoni mwa watu zikapungua kwa kiasi kikubwa.

Tulienda vile mpka mwaka wa2 ukaisha. Tulienda field nakumbuka mimi nilienda Tanga yeye alienda Arusha. Hatukuwa tunapenda kwenda field sehem moja na hatukuwa na sabb za msingi.

Tukaanza mwaka wa3, Sasa changamoto ikajitokeza katika biashara yangu. Kuna mtu nilikuwa namtumia pesa ya mzigo ananipakizia katika cargo mimi napokea town. Bhnaa ilikuwa mwezi wa 12 nakumbuka hiyo mwanzo wa mwaka wa3. Yule jamaa nilimtumia pesa alikuwa ni mvuvi na alikuwa awakaanga mwenyewe Sasa nilipotuma pesa kulikuwa kumebak mzigo kidogo kwasbb kuwa inachukuwa siku3 mpk 4 mzigo kukamilika na kutumwa.

Baada ya kumtumia ile pesa nakumbuka ilikuwa tsh 220k na ya kutolea. Baada ya kumtumia tuliwasiliana vizur akanambia nimchek baada ya siku mbili kujua kafikia wapo. Baada ya siku mbili nikapiga, piga simu sana lakini jamaa hakuwa anapokea. Nikawa natumia namba ngen napiga lakini hakuwa anapokea. Mwisho wa siku akawa hapatikani kabisa na mpka leo sjui kwanini jamaa alinifanyia vile au nini kilimkuta. Nikamchek jamaa aliyeniconnect naye akanambia naye anamtafuta lakini hampati basi nikawa nimepoteza pesa na pia connection ya kupata mzigo.

Hapa ndo biashara na mambo yangu na Mercy yalianza kuyumba..........

==
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
 
Pale ambapo Mercy alikuwa anakaa kulikuwa na wanachuo kadhaa basi mpenz wangu akanambia nimpe pieces kadhaa za dagaa awe anawatembezea wale majirani zake. Biashara ilianza kuchanganya tukawa tunapiga pesa unakuta kwa wiki nilikuwa nauza mpk pieces 100 sasa ukipiga faida yake ilikuwa Ina range kwenye 70-100k kwa wiki Moja.

Kule kuwa vizuri class kulinisaidia kwasabb nilikuwa close na wasela na pisi nyingi sana kwahyo hao ndo walikuwa wateja wangu wazuri. Nikaanza kuwa don bhna, nilianza kupata pesa hata zaidi ya Ile nilokuwa napewa na wazaz. Maisha yakawa mazuri zaid na furaha ya moyo ikanirudia maana nilikuwa sina mawazo kuhusu pesa na baadae wateja wakawa wanafata wenyewe mageton kwahyo zile routes za baiki magetoni mwa watu zikapungua kwa kiasi kikubwa.

Tulienda vile mpka mwaka wa2 ukaisha. Tulienda field nakumbuka mimi nilienda Tanga yeye alienda Arusha. Hatukuwa tunapenda kwenda field sehem moja na hatukuwa na sabb za msingi.

Tukaanza mwaka wa3, Sasa changamoto ikajitokeza katika biashara yangu. Kuna mtu nilikuwa namtumia pesa ya mzigo ananipakizia katika cargo mimi napokea town. Bhnaa ilikuwa mwezi wa 12 nakumbuka hiyo mwanzo wa mwaka wa3. Yule jamaa nilimtumia pesa alikuwa ni mvuvi na alikuwa awakaanga mwenyewe Sasa nilipotuma pesa kulikuwa kumebak mzigo kidogo kwasbb kuwa inachukuwa siku3 mpk 4 mzigo kukamilika na kutumwa.

Baada ya kumtumia ile pesa nakumbuka ilikuwa tsh 220k na ya kutolea. Baada ya kumtumia tuliwasiliana vizur akanambia nimchek baada ya siku mbili kujua kafikia wapo. Baada ya siku mbili nikapiga, piga simu sana lakini jamaa hakuwa anapokea. Nikawa natumia namba ngen napiga lakini hakuwa anapokea. Mwisho wa siku akawa hapatikani kabisa na mpka leo sjui kwanini jamaa alinifanyia vile au nini kilimkuta. Nikamchek jamaa aliyeniconnect naye akanambia naye anamtafuta lakini hampati basi nikawa nimepoteza pesa na pia connection ya kupata mzigo.

Hapa ndo biashara na mambo yangu na Mercy yalianza kuyumba..........
Kwenye hiyo sentence ya mwisho unakuja kugundua kwamba siku hizi mapenzi bila pesa hayadumu licha ya uadilifu wa binti, tuendelee hadi mwisho tuujue ukweli wake
 
Let's go..........

Nilipoteza mtaji na connection ya mzigo, bora ningempoteza mtaji ila so connection. Nilipambana kutafuta connection nyingine nikabahatika kumpata jamaa mwingine. Huyu wa pili ndo mjinga mshenz nliambulia kudhurumiwa pesa yangu nilomtumia, niloituma pesa kama ile maana nilihitaji pics za tsh 210k. Huyu jamaa alinidhurum moja kwa Moja. Hili pigo la pili likazid kunichanganya kabisa maana maana nilibakiwa na pesa kidogo sana. Ilinibidi nikomae na wazaz na brother wanisapot nilibahatika kupata 85k tu kwa muda ule.

Huku maisha na Mercy yalianza kubadirika mambo yalikuwa hadharan kwamba tayar mwamba nishakuww apeche alolo. Mercy alianza kubeba majukum yangu kwa kiasi flani.

Nilipiga tena hesabu nini Cha kufanya, nikapata wazo. Town kulikuwa na msela wangu mtaalam wa cm yani fundi na pia alikuwa anauza cm za mtumba na full box. Nikaanza kuwa winga nakumbuka kipindi hicho hizi cm za Tecno k9 na wx4 ndo zilikuwa zinafanya vzr sokoni. Nikaanza kuwa nachukuwa mzigo kwa jamaa kama pcs nne tano naenda chuo kuziuza kwa wanafunz. Biashara haikuwa nzur sana nilikuwa napata pesa kwa jasho sana na pesa yenyew ilikuwa ndogo.

Tuliendelea na Mercy, na hakuwa ameanza kuonesha mabadiriko yoyote.
Katika masomo yangu nilishuka kidogo lakini sikupata sup maana matokeo ya tests 1&2ja UE ya semester 1 mwaka wa 3 nilkua nmeshuka kidogo ukilinganisha na hapo nyuma. Nakumbuka semester ya 1 mwaka wa 3 katika maandalizi ya UE nilikuwa stressed sana maana sikuwa tyr kuona Mercy ananihudumia mimi bali mimi nimuhudumie. Of course ilifika muda kwenye bajet yeye ndo alikuwa anatoa pesa mimi natoa kidogo sana.

Kipindi tunajiandaa na UE kidogo nilianza kuwa namkwepa Mercy ili asinotice kwamba nilikuwa stressed kiasi kile. Kwahyo nilikuwa nawajoin jamaa zangu mageton tunapiga disc lakini walikuwa wanaona kabisa mwamba silo sawa. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anaitwa Issa ni mtu wa kusini kwa wamakonde huko alikuwa ananikubali sana mpka akawa ananambia kwamba mimi nilale tu sina haja ya kusoma et misuli na sup niwaachie wao. Sometimes nilikuwa sirud mageton kwangu nlkuwa nalala kwa washkaji ili kupata kampani maana Mercy skutaka anione katika unyonge.

Baada ya Ile semester ya kwanza kuisha tulienda kalikizo kafupi, Mercy alienda kwao mm nilikomaa town nikawa nafanya kazi ya udalali kwa wanafunzi ambao walikuwa wanahitaji kuhamia nje ya chuo. Nilipiga viela kidogo nikaamua nimtumie Mercy kama 50k hivi alifurahi sana.

Likizo ikaisha tukafungua nakumbuka siku Mercy anarud nilienda stand kumpokea nikiwa na yoghurt maana Mercy na yoghurt ni pete na kidole. Siku hiyo pia tuligegedana kwa mahaba sana na tulienjoy kinoma. Kama kawaida mimi na baiki yangu na Mercy wangu. Ile kaz ya udalali nilisitisha sikutaka Mercy ajue na washkaji niliwambia kabisa kwamba kama wangetaka tukosane bas wamwambie Mercy kwamba likizo nilikuwa napiga mishe za udalali kitaa.

Weeks 2 baada ya kufungua chuo Mercy wangu alipatwa na tatizo la maumivu ya jino gego la mwisho la chini. Tulitafuta dawa akatumia lakini haikasaidia basi ikabidi nimshauri twende akalitoe tu hospital ili abaki huru. Mwanzo aligoma lakini maumivu yalipozidi ikabid akubali.

Tulienda hospital moja kubwa sana pale mjini inapatikana karibu na parking ya magari madogo na sheli ya mafuta.

Hapa ndo pigo liliponipata, tatizo lilianza hapa...................

===

The email
 
Mlikuwa mnatumia nini wenzetu mbona kugegedana sanaa mimba hola au ndio p2 na Kama p2 basi mlikuwa mna risk sana

Wazinzii kwelikweliii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom