Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Nyeto nilifanikiwa kuacha .....ila nilivyoacha nyeto jamani akaingia shetani wa wauza nyapu na pombe...aisee,yan huyo ndo amekuwa shetani mbaya sijawahi kuona,ila wauza nyapu naamini naweza kuacha,lakini pombe ndo imeshindikana kabisa yan hiyo imefika hadi kwa watume wa Jiji la dar lakini wapiiii...Ngoma ngumu,amini kuacha pombe ni kazi jamani yan sijui kwa nn!!
Pombe unaacha tena rahisi sana.
 
Hapana aisee. JF ina umbea umbea fulani amazing. Ina mabishano yanayofikirisha. Ina upuuzi wa kipuuzi usiokwepeka..

Sasa utu uzima hauhitaji tena umbea. Hauhitaji tena upuuzi. Ndo ile unakuwa mtu mzimaa wanakuita mzee mpuuzi. Aaaghhh qumamae


Hapo mwishoni imethibitisha jinsi na wewe ulivyo na upuuzi usiohepukika
 
Dah, napenda kurahisisha mambo sana hata ya msingi. Hapa sijui natokaje.. Kununua nguo bila ratiba ilimradi nimeipenda na kwenye pochi au simu nina hela. Hii inapelekea wakati mwingine kupangua bajeti. Natokaje hapa 2024.
 
huyu mpenzi wangu wa sasa maana tumedumu kwa muda mrefu sana ila naona sasa hivi amebadilika sana nahisi wajanja wamemchukua maana kwenye mapenzi kuna kuzidiana au mapenzi kuisha automatic ila ni mazoea yananifanya kutomuacha ila nashukuru mpaka leo hii hatuna mawasiliano ni wiki sasa imeisha so naendelea kukaza ili niweze kuachana nae kwa aman maana nisije kufa kwa presha kwa ajil ya mazoea
 
Nilipita chimbo flan linaitwa DDC,duh yan wadau wamevurugwa,ile kuagiza PINGU naona naonyeshwa ukutani kamba kama zote zimetundikwa kwenye msumari...!!!ila kwa kuwa nilishapata hints nikaelewa Somo,nikaagiza safari kubwa nikatembea tughimbe night club
Hiyo pombe lazima ushushe mzigo bila ridhaa yako ndo utamu wake.HAIFAI KABISA
 
Back
Top Bottom