Search results

  1. M

    ukame wa elimu kwa shule za serikali TANZANIA umesababishwa na sera mbovu za CCM.

    SHULE ZA SERIKALI VS ZILE ZA SAINTS NA BINAFSI Ni ukweli usiopingika kwamba ukame uliopo shule za serikali umesababishwa ki maksudi na serikali ya ccm kushindwa kwa sera za elimu nchini Tanzania.mtoto wa shule ya awali tu kwa sasa ni kati ya sh.1,6000,000.00 kwa mwaka,hivyo wenye vipato wanamudu...
  2. M

    Heko Dr.Slaa,kwa utambulisho wako,mabeberu wameshangazwa na uwezo wako wa kujieleza

    huu ndio utambulisho wa Raisi ajaye 2015,karibu mpendwa wetu.tutakupa kura.tena kama tulivyo fanya.
  3. M

    Tanganyika iliyozikwa i mbioni kufufuliwa,kwa kuwa watanganyika ni wengi kuliko CCM

    Ni wakati pekee na mwanya adhibu uliotoka kwa mola,kutufumbua macho WATANGANYIKA kwamba taifa lao lililozikwa mika 50 hivi iliyopita laweza kufufuka kupitia katiba mpya ya Jaji J.S.Warioba. TANGANYIKA YENYE NEEMA NA RASILIMALI TELE,inapumua sasa,kwa kuwa watanganyika ni wengi kuliko wana CCM...
  4. M

    Kisiwani mafia,chadema pelekeni elimu ya uraia hasa m4c.

    kisiwani mafia kuna vyama vikuu vifuatavyo.ccm imetamalaki kwa asilimia 80,cuf asilimia 4 na CHADEMA asilimia 1.najua utaniuliza utafiti huu nimeufanya kwa kutumia kigezo gani,hilo ni rahisi,kuna bendera moja tu ya chadema kisiwani mafia,na utitiri wa mabendera ya ccm,kibendera cha cdm kina...
  5. M

    Kibaha Mjini: Mh. Koka awafunda bodaboda kutojihusisha na maandamano

    MH. KOKA,Mbunge wa jimbo la kibaha Mjini ,amefanya kikao na waendesha pikipiki ali maarufu bodaboda jana. Koka akiongozana na uongozi wa juu wa wilaya,akiwa na mkuu wa wilaya bi .Halima Kihemba-,na bi .Tatu, Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mjini kwa nafasi zao waliwafunda...
  6. M

    CCM inalia ngome zake zimemomonyolewa na M4C

    CCM imechoka,inahitaji kuji reform upya,nguvu hiyo haina,ni kama mnazi uliofikia kikomo kuendelea kujizaa,imebaki na mlingoti uliosimama,bila ya matunda,hakuna tena uwezekano wa kuifanya iweze kuzaa matunda mema kwa watanzania,wala hakuna nabii anayeweza kuitabiria uhai wake,kwa kuwa yenyewe...
  7. M

    CHADEMA na uzinduzi wa kanda mashariki

    Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA,hivi karibuni kitafanya uzinduzi wa kanda ya kichama na ya kimkakati (kanda ya mashariki -makao makuu yake itakuwa KIBAHA MJINI ) kuelekea ushindi wa kishindo 2014/2015. Kwa kuwa suala hili lina umuhimu wa kipekee hasa dhana ya majimbo,na kikanda...
  8. M

    CHADEMA, acheni kurandaranda mijini,nendeni kwa wapiga kura vijijini.

    Wananchi wanakiu ,wako tayari kwa mabadiliko lakini wanasiasa na vyama vyao yaelekea hawako tayari kwa. mabadiliko ya kweli,na uongozi tofauti na huu wa ccm uliopo.achilia mbali vyama vingine vya siasa ,ngoja niseme kuhusu CHADEMA,kimebaki kiki randa randa mijini tu huku kiki tambua kura zipo...
  9. M

    Chadema.tumtenzi sokoine kwa vitendo,

    itakuwa ni jambo zuri kumuenzi mjamaa huyu wa kweli aliyechukia UFISADI KWA DHATI.kwa maana nyie Chadema sera yenu ni kupinga ufisadi kwa nguvu zote. Watu wengi wamekuwa wakizuru kaburi la J.K.NYERERE.ni jambo zuri sana.lakini waziri mkuu huyu alikuwa mtu wa watu. Mzalendo wa kweli, wanasema...
  10. M

    CHADEMA ,waandaeni Watanzania kisaikolojia kuupokea uongozi wenu 2014/15

    hakika sasa ni muda wa CDM Kuwajenga kisaikojia jamii na kada zote za watanzania kumuunga mkono amiri jeshi mkuu mpya nje ya CCM mara baada ya 2015.picha hii imetokana na matokeo ya chaguzi za hivi karibuni kule magu na mbeya (mbozi). ANGALIZO KWA CDM. ule usemi wa kusikia ccm wamepita bila...
  11. M

    Kibaha: Sylivester Koka na Mwigulu Nchemba VS John Mnyika na Tundu Antipas Mugwai Lissu

    leo Kibaha kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA,kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara kiwanja cha mpira mail moja. Nitawajuza hadi nukta kile kitakacho semwa na makamanda Mnyika na mnadhimu mkuu wa upinzani Tundu Lissu. lengo la uzi huu naomba wana Kibaha na watanzania kwa ujumla...
  12. M

    Heko Dr. Kitila Mkumbo kwa kazi ya siasa jimboni Iramba Magharibi

    Pale Iguguno leo saa 11.30 hivi jioni doct Kitila Mkumbo wa UDSM na kamanda mwandamizi wa CHADEMA alikuwa Iguguno kuongea na wananchi nao kutoa kero zao. Walimtaka angalau awasalimu kidogo kwa kuwa ni kamanda wao, ila tutarajie makubwa jimboni kwa mwigulu.
  13. M

    Tanganyika, jina la taifa la watu lilopotea

    Tanganyika nchi ya watanganyika iliyopotea kisa muungano.Yupo mtanganyika mmoja kwa jina anaitwa CHRISTOPHER MTIKILA ameidai nchi yake takriban miaka 20 hv bila mafanikio. Ipo siku watanganyika watapata uhuru wa taifa lao lililoporwa na muungano feki unao maliza kodi zetu kwa kuundwa kwa...
  14. M

    Kumbe Waziri Mkuu alikimbia maswali ya wana Mtwara!

    waziri mkuu Mh.Mizengo Pinda,alikimbia maswali ya wana mtwara,ambayo wangemwuliza kwa kisingizio kuwa ana wahi bungeni.amesema Bwana Uledi abdala mwenyekiti wa vuguvugu la kupinga gesi isiondoke mtwara. Moja ya maswali waliyopanga kumwuuliza ni *wapi tenda ya kuchimba gesi ilitangazwa ,gazeti...
  15. M

    Vyombo hivi vya habari( itv,star tv,tbc)

    Namna ambavyo mmeripoti matukio ya mtwara Masasi inatia shaka.iweje mlete sauti za waandishi habr badala ya picha na matukio halisi yalivyojiri ili watanzania waone .habari kamili.mnafunika kombe ,ama ndio maagizo ya wakubwa kutuficha ukweli na uhalisia 'MENE MENE TEKELI NA PERESI'
  16. M

    JK awalaani waislamu wa MALI wenye itikadi kali

    Akiwa mbele ya mwenyeji wake pres.Olande'wa ufaransa, JK ametamka waziwazi kuwa ni mwafaka kwa Ufaransa kuingilia kisiasa nchini MALI,Huku akiwalaani kwa kitendo cha mwavuli wa uislamu wa kigaidi haukubaliki. HEKO JK! Source: BBC
  17. M

    CCM yatamba kuendelea kubaki madarakani 2015

    CCM kupitia kada wake Mzee Bulembo,wameapa kusalia madarakani kwa gharama zote. Source,gazeti la uhuru
  18. M

    Dokt.kitila Mkumbo na harufu ya shida za wana iramba magharibi.

    Nini tofauti yako na wale wa ccm.ambapo tangu uhuru siku zote huishi jijini.2015,tuna taka mwenzetu ajuaye dhiki zetu, ajuaye aina ya maji tunayokunywa yanayonuka kinyesi cha ng'ombe ama punda.kwa maana dimbwi la maji la wanyama na binadamu ni moja.nyie huko dar tunasikia mna dawasco.na maji ya...
  19. M

    JF jeshi kubwa la mtandaoni

    wakati ni sasa, muda ndio huu pelekeni elimu ya uraia.kwa watanzania. Ya kwamba tunataka majibu stahiki toka kwa watawala wa kiimla na chama cha kiimla kisichopenda kuambiwa ukweli. ya kwamba,yatosha kutembeza bakuli.kwa wakubwa wa ulaya.utitiri wa mali asili gas ,mafuta,madini ,uran.mbuga za...
  20. M

    TUNDU LISU ANTIPAS MUGWAI.karibu kibaha.

    Mh.Lisu tunakukaribisha kibaha,hii imetokana na Nchemba Mwigulu kuwaambia wananchi wahudhuriaji ccm kuwa wewe ni kichaa (mwendawazimu) unalo faili la wagonjwa wa akili Dodoma Mirembe hospital. WAKILI,NA MSOMI WA SHERIA,KARIBU KIBAHA.UJE UTUELEZE NDOVU WETU,URANIUM,NA DHAHABU NANI WEZI. Sisi...
Back
Top Bottom