Heko Dr.Slaa,kwa utambulisho wako,mabeberu wameshangazwa na uwezo wako wa kujieleza

Sasa JK akienda USA ajipange kwani jamaa kamwaga kila kiyu hadharani..bado ule ugaidi wa Arusha atamalizia nao siku za baadaye.
 
Mtu aliye kwenye umri wa kustaafu anapojivunia uwezo wa kujieleza ni sawa kabisa na mtoto wa darasa la saba anayejivunia kutambaa!
 
yaani utaipenda wambie vijana wachanga mkie hii hotuba ya Dr Slaa hakika watajifunza menngi zaidi ya hii.
 
Vipi lumumba wanasema je mzee wa akili za kushikiwa mtahangaika sana na propaganda zenu ukweli mwishow enu umefika, nyie ccm na vibaraka wenummekuwa chukizo kwa taifa na aibu mtu yeyote kujiita ni kada wa ccm, shame upoon you zercacomopolo ukawapotoshe vichaa wenzako kama wakina nape na mbayumbayu wengine.
mtu aliye kwenye umri wa kustaafu anapojivunia uwezo wa kujieleza ni sawa kabisa na mtoto wa darasa la saba anayejivunia kutambaa!
 
Dr Slaa anayo kura yangu, even akigombea kwa chama chochote kile. Naomba Mungu Dr Sla afanye ziara Uk.
 
katika mataahira na wewe ni no. 1, uliona lini wahuni wakakabiziwa nchi na watu wenye akili timamu?
Dr Slaa yuko marekani kwa matibabu :A S-confused1:ya akili. tumuombee apate nafuu ili aludi salama
 
kumbe ni bingwa wa kujieleza tu,vipi kuhusu uongozi amepata ngapi,0%?
 
Mtu aliye kwenye umri wa kustaafu anapojivunia uwezo wa kujieleza ni sawa kabisa na mtoto wa darasa la saba anayejivunia kutambaa!

Tuna watu wazee wenye akili timamu na si kuwa na vijana Wapuuzi? Angalia Robert Mgabe Rais mwenye akili timamu japo kuwa ni mzee iwe Dr? Go Dr Slaa
 
Mtu aliye kwenye umri wa kustaafu anapojivunia uwezo wa kujieleza ni sawa kabisa na mtoto wa darasa la saba anayejivunia kutambaa!

Hehehehe ushamba una msumbua anaenda kujieleza kwa mabeberu! Babu na kiingereza chake kajieleza nini masikini
 
He is possibly from the next planet!Come on Dr Slaa!Tanzania yenye neema iko mikononi mwako!twahitaji kufika nchi ya ahadi
 
huu ndio utambulisho
wa Raisi ajaye 2015,karibu mpendwa wetu.tutakupa kura.tena kama
tuli
vyo fanya.


dah kweli nchi haina wanasiasa makini. yaani mpaka wafikirie huyu kibabu aingie Ikulu! hapana. nitatangaza nia ya kugombea wakati ukifika
 
Mtu aliye kwenye umri
wa kustaafu anapojivunia uwezo wa kujieleza ni sawa kabisa na mtoto wa
darasa la saba anayejivunia kutambaa!

hahahahahaaaaaaa! yaani mtu kujipima kujua kujieleza mpaka awe mzeee? ina maana huyu kibabu alikuwa hajui kuwa anajua kujieleza?
 
He is possibly from the next
planet!Come on Dr Slaa!Tanzania yenye neema iko mikononi mwako!twahitaji
kufika nchi ya ahadi

ni ujinga na ukuwadi mkubwa kudhani kuwa nchi ipo mikononi wa mtu mmoja
 
Back
Top Bottom