ukame wa elimu kwa shule za serikali TANZANIA umesababishwa na sera mbovu za CCM.

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
SHULE ZA SERIKALI VS ZILE ZA SAINTS NA BINAFSI Ni ukweli usiopingika kwamba ukame uliopo shule za serikali umesababishwa ki maksudi na serikali ya ccm kushindwa kwa sera za elimu nchini Tanzania.mtoto wa shule ya awali tu kwa sasa ni kati ya sh.1,6000,000.00 kwa mwaka,hivyo wenye vipato wanamudu kuwapeleka watoto wao huko ambao wengi wao ni wale wale walioko kwenye system.kama serikali ya ccm ingemudu kulipa mishahara minono kwa walimu wao wangemudu gharama za maisha zinazo aibisha utu wao,kwa sasa,na wangefundisha kwa moyo.tazama mishahara katika shule za serikali ,sh 210,000 baada ya makato VS 1,2000,000.00 Baada ya makato.nini kifanyike kuinusu nchi dhidi ya ukame huu wa elimu?.
 
Back
Top Bottom