Search results

  1. English Learner

    Kitabu gani cha kusoma baada ya Forex Bible na Candlestick Bible?

    Technical Analysis of the Financial Markets: A Comprehensive Guide to Trading Methods and Applications by John Murphy has been attached for interested forex traders
  2. English Learner

    Ukombozi Umefika Morogoro...

    Hivi karibuni nimekuwa mfuatiliaji wa mambo ya ulimwengu wa Roho. Katika lulu ambazo nimepata kuzijua ni Mtumishi wa Mungu, Askofu Elibariki Sumbe msimamizi wa Kanisa la Vuka Yordani lililopo Ngaramtoni, Arusha. Katika zama tulizomo moja ya changamoto kubwa ni kuwatambua Watumishi wa Mungu wa...
  3. English Learner

    Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Chaguo langu naliweka kwa KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi( CCM) Mkoa wa Morogoro Shaka Hamdu Shaka na Pascal Mayalla wa JF.
  4. English Learner

    Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Mkuu, Kwa hali ilivyo mtaani jambo lolote ambalo halihusu namna ya kuwapunguzia wananchi ugumu wa maisha litakutana na ukingazi mkubwa sana maana hali halisi tuliyo nayo sasa ni "we have nothing to loos by fighting against the tyranny" watujaribu waone!
  5. English Learner

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    puker Kama bado hujapata utatuzi wa shida yako fika Vuka Yordani, Ngaramtoni, Arusha kwa Askofu Elibariki Sumbe. Nakuhakikishia utafunguliwa na utakuwa huru. Huduma zote za maombezi na kufunguliwa zinatolewa bure kwa ajili ya utukufu wa Mungu pekee.
  6. English Learner

    Anahitajika Afisa Masoko - Pombe Kali

    E-mail: english.learnertz@gmail.com
  7. English Learner

    Anahitajika Afisa Masoko - Pombe Kali

    Habari Wadau, Anahitajika mtu mwenye sifa zifuatazo: Awe na uzoefu wa kuuza pombe kali (Spirits) walau boksi 2,000 kwa mwezi Awe mwaminifu na muadilifu Awe tayari kufanya kazi Singida, Dodoma na Rukwa Awe na umri kati ya miaka 25-35 Kama una sifa zilizotajwa nitumie email kupitia...
  8. English Learner

    Natafuta Toyota Noah SR40 ya Kununua

    Wadau, Poleni na kazi za kutafuta mkate wa kila leo. Baada ya kukosa Toyota Noah ya kukodi nimeamua kujimwambafy kwa kutafuta ya kununua. Nahitaji Toyota Noah SR 40 ambayo haina zaidi ya miezi mitano (5) toka isajiliwe nchini Tanzania. Gari iwe inatembea, isiwe na tatizo lolote, iwe na...
  9. English Learner

    Toyota Noah/Hiace inahitajika. TZS 600,000/Mwezi

    Keagan Paul, Biashara siyo amri za Kijeshi, biashara ni mazungumzo. Nimetoa ofa yangu na mwenye gari akiwasiliana nami atakuja na ofa yake. Mwisho wa siku tutafikia muafaka
  10. English Learner

    Toyota Noah/Hiace inahitajika. TZS 600,000/Mwezi

    Gari aina ya Toyota Noah au Hiace inahitajika kwa ajili ya kusambaza vinywaji vikali Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara kwa mwezi mmoja. Dereva ni wangu, mafuta na matengenezo ya kawaida pia ni juu yangu. Budget yangu ya kumlipa mwenye gari (mmiliki/mkodishaji) ni laki sita (TZS...
  11. English Learner

    Dereva wa daladala kujaladia sare ni kosa kifungu namba ngapi?

    Kwa faida ya nani nitunge hadithi? Nenda kamuulize Trafiki, Mwanamama mwenye Namba WP 3068 akuthibitishie kwa kazi alizofanya leo mida hiyo.
  12. English Learner

    Dereva wa daladala kujaladia sare ni kosa kifungu namba ngapi?

    Wadau heshima kwenu. Mbinu za kupata vyanzo vipya vya mapato kwenye Serikali ya Awamu ya Tano vinazalisha kero katika kila sekta, vinaambatana na unyanyasaji na kuongeza machungu ya maisha kwa raia wa kawaida. Wengi wetu tutakuwa tunaifahamu na tumekutana na madhira ya "TRA" mpya yaani Jeshi...
  13. English Learner

    Rais alizindua Mradi wa Maji Hewa Sengerema!? Wizara yatoa ufafanuzi...

    Siku chache zilizopita, Rais wetu kipenzi alifika Sengerema kwa ziara iliyoambatana na uzinduzi wa mradi maji. Katika hotuba na tambo za sherehe ya uzinduzi, Rais aliambiwa mradi umekamilika kwa asilimia 100. Kwa uzi huu napenda kumjulisha Mh. Rais Dr. Magufuli kuwa yamkini alizindua maji hewa...
  14. English Learner

    TRA kuyapiga mnada magari zaidi ya 400

    Umeona mbali. Binafsi nimeishapanga kuwa wiki mbili kabla ya Uchaguzi wa 2020 nahamia Kijijini na familia na nitarudi miezi miwili baada ya vulugu za Uchaguzi kuisha. 2020 Tanzania haivuki bila vifo vya watu mashuhuri na vilema vya makabwela. Kuna dalili zote kuwa dola ndiyo itaamua...
  15. English Learner

    Msiba wa Wananafunzi: Clouds group kusimamisha vipindi vyake vya TV na redio ili kuomboleza

    Pongezi kwa Uongozi wa Clouds Media Group. Nasubiria sinema pale watakaponyimwa au kuwekewa masharti magumu katika kurusha vipindi vya siku ya Jumanne.
  16. English Learner

    Dar: Kuku wa Pasaka Wanapatikana

    Hawa ni chotara wa kizungu na kiafrika wenye kutaga mayai yenye kiini cha Kuku sawa na wale wa kienyeji wakati broilers ni purely wa kizungu, maalum kwa ajili ya nyama na hawatagi mayai. Tofauti nyingine ni kwamba hawa chotara wana umri wa karibu mwaka wakati broilers ni fastafasta breed...
  17. English Learner

    Dar: Kuku wa Pasaka Wanapatikana

    Nipo Mbezi Beach. Banda liko B'moyo. Karibu!
  18. English Learner

    Dar: Kuku wa Pasaka Wanapatikana

    Katika msimu huu wa Pasaka tunauza Kuku wetu wenye uzani wa mpaka 2.3Kg kwa TZS 15,000/=. Bei hii ni pamoja na kuchinjiwa na kuletewa mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar. Kuku wetu ni chotara aina ya Tasso. Wateja mnakaribishwa.
  19. English Learner

    Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

    Kuwa mnafiki ndani ya JF yahitaji akili-tanashati (Smart brain). Tupitie kidogo mnakasha wa Tomito Tomato hapa Hivi kwanini Makonda anachukiwa hivi wakati anafanya kazi vizuri tu?
  20. English Learner

    Marketing Officer - Dar es Salaam

    My sister is running a medium enterprise dealing with the production of alcoholic beverages. She is looking for smart marketer to promote her products and acquire different types of customers around Dar and nearby regions. No qualifications required to apply for this post but the incumbent...
Back
Top Bottom