Toyota Noah/Hiace inahitajika. TZS 600,000/Mwezi

English Learner

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
355
355
Gari aina ya Toyota Noah au Hiace inahitajika kwa ajili ya kusambaza vinywaji vikali Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara kwa mwezi mmoja.

Dereva ni wangu, mafuta na matengenezo ya kawaida pia ni juu yangu. Budget yangu ya kumlipa mwenye gari (mmiliki/mkodishaji) ni laki sita (TZS 600,000/=) kwa mwezi. Gari liwe zima na vibali vyote.

Kwa mwenye nalo awasiliane nami kwa WhatsApp/Call/SMS kupitia namba 0735 197 719
 
Keagan Paul,
Biashara siyo amri za Kijeshi, biashara ni mazungumzo. Nimetoa ofa yangu na mwenye gari akiwasiliana nami atakuja na ofa yake. Mwisho wa siku tutafikia muafaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom