Search results

  1. GentleGiant

    PSSSF moja ya taasisi za Umma zenye Customers care bora kabisa nchini

    Wakati nafikiria kuanza michakato ya kufuatilia michango yangu kwa hawa jamaa nilikuwa nafikiria sana kwa kuwa taasisi nyingi za umma zinasifika kwa kuwa na customer care mbaya sana kwa wateja. Lakini nimefuatilia,nimeingia ofisi tofauti tofauti na itoshe tu kusema jamaa ni wakarimu na...
  2. GentleGiant

    SoC02 Tuwajibike kwa pamoja

    (Kijana) Jioni ya leo siwezi kulala na njaa tena.Nitafanya kila namna nipate chakula. Nguvu nazo zimeanza kuniishia, sijui kama nitafanikiwa kutoka salama lakini siwezi kulala njaa na leo. Kuomba watu wameshanichoka, kazi hata za vibarua zimekuwa ngumu kupatikana nikae nife na njaa? Hapana...
  3. GentleGiant

    Mengine ni ya kuachana nayo tu hayakujengi yanakubomoa

    Habari ndugu zangu. Leo nina jambo nataka ku-share na nyinyi na nina imani litawasaidia.Leo nitazungumza na wenzangu wasomaji sana wa vitabu ambao kwa experience yangu humu ndo mashujaa wa mada ngumu ngumu. Kiukweli tunashauriwa kutumia muda mwingi kujijenga kwa kusoma vitabu.Na ni jambo jema...
  4. GentleGiant

    Mkristu kama huyajui haya jitafakari

    Wakristu wengi tumekuwa na tabia ya kuishi kwa mazoea sana.Wengi ni wakristu kwa sababu wamezaliwa kwenye ukristu lakini ukiwauliza maswali ambayo ni basic sana kuhusu imani hawana majibu.Siwalaumu sana kwa sababu ya mifumo ya makanisa yetu siku hizi lakini unapokuwa umefikia uwezo wa kutafakari...
  5. GentleGiant

    SoC01 Life after graduation: Tips to become relevant and succeed.

    Despite the fact that statistics shows the rate of youth unemployment in Tanzania has declined during the past five years, the numbers of youth who are unemployed in streets are continuing to soar. Every year significant number of graduates ready to enter the workforce are poured in the streets...
Back
Top Bottom